Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
sijakubishia kuhusiana na hyo av receiver yako bali hzo tower haziwezi toa deep bass kma hii buf la kodtec

hapa nimetumia high quality rca cable ya full copper nimeunga na samsung note 9(dolby atmos iko on)

nakula midundo ya dre

pata picha hpo huo mkito ukoje[emoji16]

dundo la okay you are right by 50 cent mamaee.
Unajua unaweza tengeneza tower zako mbili, chini ukaweka subwoofer hizo za Kodtec, ukawa na subwoofer 2 za kodtec na zikasukumwa in full range na AVR vizuri tu. Huko pembeni una mweka Kodtec anakuwa na separate room ndani ya tower box, hakuna kushare mdomo wa hewa (woofer) na mid ranges. Yaani ranges zisiwe na room ya kutoa hewa zaidi ya woofer. Hiyo deep bass ya hapo huwezi ipata kwa sub woofer moja ya Kodtec kaka .

Tower kama imesukwa vizuri huwa kuongeza woofer ni ziada tu, zinajitosheleza vizuri. Huwezi linganisha bass ya tower 2 kila tower ina woofer chini kwa subwoofer moja kaka.

Amplifier ya Home Theatre hasa channel inayosukuma woofer ya HT tu, haiwezi lisha moto kwenye tower moja labda kama unataka kuunguza AC ya HT hata channel ya speeaker ya hizi Hi-Fi zetu za majumbani bado haiwezi lisha moto tower speaker moja iliyosukwa kwa kazi. Ndio maana Tower ya kibabe inabebwa na AVR tu.
1661854018061.png

1661851706274.png

Nina 2.0 multimedia speaker, woofer zake ni kama 8" cone speaker moja kila box, siku nikivurugwa napandisha tower. Natafuta mid ranges 3 kwa kila tower. Natafuta fundi mzuri wa box na mbao nzuri nafanya yangu. Natafuta na AV ya kwenda sawa na hiyo design yangu kazi imeisha.
 
sijakubishia kuhusiana na hyo av receiver yako bali hzo tower haziwezi toa deep bass kma hii buf la kodtec

hapa nimetumia high quality rca cable ya full copper nimeunga na samsung note 9(dolby atmos iko on)

nakula midundo ya dre

pata picha hpo huo mkito ukoje[emoji16]

dundo la okay you are right by 50 cent mamaee.
yaah floorstanding sio kwa ajili ya pure bass ingawa zinatoa bass pia. ndio maana ukihitaji bass zaidi unaongeza subwoofer.

sasa kama ww unapenda midundo zaidi vipi ukiwa na sub kama hizo za codtek mbili....🙌😂😂
 
Unajua unaweza tengeneza tower zako mbili, chini ukaweka subwoofer hizo za Kodtec, ukawa na subwoofer 2 za kodtec na zikasukumwa in full range na AVR vizuri tu. Huko pembeni una mweka Kodtec anakuwa na separate room ndani ya tower box, hakuna kushare mdomo wa hewa (woofer) na mid ranges. Yaani ranges zisiwe na room ya kutoa hewa zaidi ya woofer. Hiyo deep bass ya hapo huwezi ipata kwa sub woofer moja ya Kodtec kaka .

Tower kama imesukwa vizuri huwa kuongeza woofer ni ziada tu, zinajitosheleza vizuri. Huwezi linganisha bass ya tower 2 kila tower ina woofer chini kwa subwoofer moja kaka.

Amplifier ya Home Theatre hasa channel inayosukuma woofer ya HT tu, haiwezi lisha moto kwenye tower moja labda kama unataka kuunguza AC ya HT hata channel ya speeaker ya hizi Hi-Fi zetu za majumbani bado haiwezi lisha moto tower speaker moja iliyosukwa kwa kazi. Ndio maana Tower ya kibabe inabebwa na AVR tu.
View attachment 2339856
View attachment 2339812
Nina 2.0 multimedia speaker, woofer zake ni kama 8" cone speaker moja kila box, siku nikivurugwa napandisha tower. Natafuta mid ranges 3 kwa kila tower. Natafuta fundi mzuri wa box na mbao nzuri nafanya yangu. Natafuta na AV ya kwenda sawa na hiyo design yangu ka
hizo zangu ndio imekuwa project ya kwanza.

kibongo bongo kuunda mwenyewe mtihani unakuja kwenye kupata materials hasa woofer, tweeter na midranges.
Kupata tu soeaker nilihangaika sana wee fikiria nilikuwa nawaza kuunda speaker mwenyewe tangu 2017.
Kupata Receiver na speakers kuunda ili nianze kazi, speaker nikawa sipati. bongo nyingi yanejaa yale makubwa na zile za gari.
kuagiza nako guarama kubwa sana. wee fikiria speaker nzuri zipo AliExpress ila moja ni zaidi ya laki. kuisafirisha pia zaidi ya laki.

sasa pata picha unahitaji zaidi ya speaker 8,
wenzetu huko kuna site iñaitwa partexpress, huko kila unalotaka kuhusu kuhunda speaker unapata materials.
 
yaah floorstanding sio kwa ajili ya pure bass ingawa zinatoa bass pia. ndio maana ukihitaji bass zaidi unaongeza subwoofer.

sasa kama ww unapenda midundo zaidi vipi ukiwa na sub kama hizo za codtek mbili....🙌😂😂
Inategemea na set up bro, kuna floor standing nyingine haziitaji woofer kabisa, zinajitosheleza kabisa kwa kila idara.
Nilishakutana na system moja channel 5.0 sound inayotao huitaji additional ya subwoofer yaani sound imebalnce deep bass safi kabisa
1661858455946.png
 
View attachment 2339907
kwa mtu wa basshead subwoofer haikwepeki

yaani hta iweje hzi mid range haziwez kupa 30hz frequency

nyingi zikijitahidi ni 45hz

so bdo hazifit matakwa ya ile deep bass yenyewe.
 
kwa mtu wa basshead subwoofer haikwepeki

yaani hta iweje hzi mid range haziwez kupa 30hz frequency

nyingi zikijitahidi ni 45hz

so bdo hazifit matakwa ya ile deep bass yenyewe.
Ndio maana nimikwambia inategemea na set up ya floor standing. Kuna zilizo compelete zina low frequency ya kutosha tu. Nimeisha experience hiyo sound system. Hauhitaji subwoofer ya ziada kwani zenyewe tayari zina subwoofer
 
svs hawa jamaa ni balaa
Mmarekani huyo, wenye njaa zaidi huwa wanaweka na lock kabisa kama hapo chini #TeamSVS, sasa hapo KODTEC subwoofer anatafuta nini aisee???? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Hiyo tower moja tu load inayo kula moto wa subwoofer ya KODTEC hauitikisi hata kidogo. Ni sawa na Suzuki jimny kuvuta fuso la mkaa..

Sisi wacha tuendelee kuishi na mchina tu, huko duniani kuna wanaume.
1661874541324.png
 
View attachment 2340089
sasa hyo bei yke ni around 3milion

halafu the total output power kanafukuzana na kale sony xplode

wakati hyo 3milion ukienda hapo kenya kwa mosvek unapata premium package ya home made music system kma pioneer 3003d4(600rms) na chenchi inabaki

na sound yake sio mchezo.

wicalu tu hpo iringa anakupa 5.2 sorround system kwa chini ya laki 8, na mziki ni heavy.
 
Bei yake wapi? mbona hatuzioni Kariakoo? Huyo SVS ni idara yake kwenye hayo madude, kutengeneza subwoofer ya maana ndani ya Floor standing speakar ikakupa deep bass ni kwamba habahatishi. Subwoofer zake tu ni laana.
1661876075805.png
1661876104839.png
1661876115679.png
1661876128520.png
1661876140800.png
 
Mmarekani huyo, wenye njaa zaidi huwa wanaweka na lock kabisa kama hapo chini #TeamSVS, sasa hapo KODTEC subwoofer anatafuta nini aisee???? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Hiyo tower moja tu load inayo kula moto wa subwoofer ya KODTEC hauitikisi hata kidogo. Ni sawa na Suzuki jimny kuvuta fuso la mkaa..

Sisi wacha tuendelee kuishi na mchina tu, huko duniani kuna wanaume. View attachment 2340137
kinacholinganishwa ni best value for money

mfano anker motion boom ama mifa wildbox wanafukuzana na jbl extreme 3

ambapo jbl hpo ina bei karibu mara 3 ya wengine

lakin wako karibu kwenye same class

vilevile sony xb43 ina compete jbl boombox

ila jbl bei kali zaidi

kodtec at his price point na anachodeliver hakuna wakucompete.

yaani sound ya 400k inakupa vitu vilivyo kqribu kwnye sound ya 1.2m+

kwann usiappriciate?
 
AV receiver zina option ya kuongeza powered subwoofer moja hadi mbili. Naweza chukua na hiyo kodtec yako halafu nikaiunga na receiver yangu. Utataka kuniambiaje?😂

hii yangu 7.1 full surround sound.

nilikuwa natumia subwoofer ya kichana. Now iko pembeni japo nimeiunga na receiver ila mara nyingi siiwashi. bass ninayopata kwenye hzi towers kwangu inatosha, nyumba za watu hz.
Now niko mbioni kimalizia center na surround speakers. Na zote nitazitengeneza ktk mfumo wa 3-way.

Na hii receiver inanipa option zote za sauti ninayoitaka, either nasikiliza mziki, live show, sport na movie. Ina code nyingi tu za Dorby laboratory.

kizuri zaidi unaseti mpka umbali wa msikilizaji ninaotaka kuanzia m 0.1 hadi mita 3.

naweza weka mid night mode, loudness etc.

Naweza weka ukiwa ndani sauti ikawa ya kutosha ila nje mtu akipita anasikia sauti ya kawaida tu hakuna makelele.
mwambie pia kila chanel ya spika unaweza kuset equlizer yake kama unavyotaka, yenye 7band kupitia program ya MCACC
 
AV receiver zina option ya kuongeza powered subwoofer moja hadi mbili. Naweza chukua na hiyo kodtec yako halafu nikaiunga na receiver yangu. Utataka kuniambiaje?😂

hii yangu 7.1 full surround sound.

nilikuwa natumia subwoofer ya kichana. Now iko pembeni japo nimeiunga na receiver ila mara nyingi siiwashi. bass ninayopata kwenye hzi towers kwangu inatosha, nyumba za watu hz.
Now niko mbioni kimalizia center na surround speakers. Na zote nitazitengeneza ktk mfumo wa 3-way.

Na hii receiver inanipa option zote za sauti ninayoitaka, either nasikiliza mziki, live show, sport na movie. Ina code nyingi tu za Dorby laboratory.

kizuri zaidi unaseti mpka umbali wa msikilizaji ninaotaka kuanzia m 0.1 hadi mita 3.

naweza weka mid night mode, loudness etc.

Naweza weka ukiwa ndani sauti ikawa ya kutosha ila nje mtu akipita anasikia sauti ya kawaida tu hakuna makelele.
mwambie pia kila chanel ya spika unaweza kuset equlizer yake kama unavyotaka, yenye 7band kupitia program ya MCAC
 
kinacholinganishwa ni best value for money

mfano anker motion boom ama mifa wildbox wanafukuzana na jbl extreme 3

ambapo jbl hpo ina bei karibu mara 3 ya wengine

lakin wako karibu kwenye same class

vilevile sony xb43 ina compete jbl boombox

ila jbl bei kali zaidi

kodtec at his price point na anachodeliver hakuna wakucompete.

yaani sound ya 400k inakupa vitu vilivyo kqribu kwnye sound ya 1.2m+

kwann usiappriciate?
Don't judge kama huja experience kitu. Tower ni inabeba woofer unasemaje inakosa deep bass kwa kulinganisha na subwoofer moja tu? Experience kwanza ndio uje tuongee vizuri. Mimi siongei kishabiki
 
Back
Top Bottom