Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg


Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
Don't judge kama huja experience kitu. Tower ni inabeba woofer unasemaje inakosa deep bass kwa kulinganisha na subwoofer moja tu? Experience kwanza ndio uje tuongee vizuri. Mimi siongei kishabiki
hakuna mahal nimesema tower speakers hazitoi deep bass, nimesema midrange

unaweza nipa specifications za sound system yko

n.b sisi wengine bila mziki kudundia kifuani hatusikii kma tumesikia mziki.
 
sijakubishia kuhusiana na hyo av receiver yako bali hzo tower haziwezi toa deep bass kma hii buf la kodtec

hapa nimetumia high quality rca cable ya full copper nimeunga na samsung note 9(dolby atmos iko on)

nakula midundo ya dre

pata picha hpo huo mkito ukoje[emoji16]

dundo la okay you are right by 50 cent mamaee.
korokwincho jisome tenaa
 
Hao wote wana tower pia na zina toa deep bass bila nyongeza ya woofer
KLIPSCH
View attachment 2340214

POLK
View attachment 2340215

Haya na hizo hazina Deep bass mpaka uone woofer sio?
nihangaike kupata deep bass kwa mamilion ya fedha wakat zipo better and affordable options

kuna subwoofer za inchi 8 zimeandikwa black decker aloo zinatema bass vibaya

ukifika moshi mjini stend kubwa kuna kighorofa kuna pub kuna subwoofer hpo zimefungwa ile deep bass sijawah isikia popote ukipita lami unasikia kabisa muungurumo wa hatari hyo ndo mambo sasa.
 
0712 667 522 wasiliana na huyo jamaa atakupatia kitu unachohitaji, alishaniuzia sony str dn 840, str dn 1060, yamaha avantege ax 880, na sasa amenitafutia kitu cha pioneer rx lx 301, na sub za mtumba zile heavy anazo
Mkuu natamani kujua hizo models ulizozi-mention hapa unazitumia ktk speaker gani na cost yake inaenda/ilifika bei gani?

Namaanisha complete receiver na spika zake .
 
Mimi huwa napenda sana deep bass na mid ranges bro, ndio maana huwa nazikubali sana floor standing.
sasa nikawa namwambia jamaa. una floorstanding halafu unaongeza na subwoofer. mbona utapasua moyo hiyo bass hapo.
lipige kama lile trap la chis brown "wet"
me napenda effect za sauti wakàti nawatch movie na kucheza games.
 
Kwa experience yangu binafsi... I own a set of 2 powered bookshelf speakers from Klipsch, zinaitwa The Fives... they are small, But they have a TON of Bass kiasi kwamba mtu huhitaji hata kuongezea subwoofer(ingawa ina option ya kuadd subwoofer ikiwa mtu atahitaji)

The amount of Bass is HUGE and enough, na hizo ni just 2 small bookshelf speakers,not towers.

So, even a well sub-premium speaker can deliver a lot and lot of Bass bila hata kuhitaji subwoofer, tusikariri.
 
Kwa experience yangu binafsi... I own a set of 2 powered bookshelf speakers from Klipsch, zinaitwa The Fives... they are small, But they have a TON of Bass kiasi kwamba mtu huhitaji hata kuongezea subwoofer(ingawa ina option ya kuadd subwoofer ikiwa mtu atahitaji)

The amount of Bass is HUGE and enough, na hizo ni just 2 small bookshelf speakers,not towers.

So, even a well sub-premium speaker can deliver a lot and lot of Bass bila hata kuhitaji subwoofer, tusikariri.
binafsi bdo sijakutana na speaker za kawaida zakunishawishi nisihitaji subwoofer.


halafu ona specs zake hpo kwnye low frequency inaanzia 50hz bass ya kawaida mnooooo mzee.View attachment 2340762
 
Napenda sana mdundo wa maana, ila sio mtaalam wa haya masuala ya music system. Sasa, Nataka kununua music system au subwoofer na bajeti yangu ni 500K naombeni ushauri ninunue wa aina gani kwa bajeti hiyo?
 
Napenda sana mdundo wa maana, ila sio mtaalam wa haya masuala ya music system. Sasa, Nataka kununua music system au subwoofer na bajeti yangu ni 500K naombeni ushauri ninunue wa aina gani kwa bajeti hiyo?
option namba 1 ni kodtec 2812/2913


option namba 2 mtafute wicalumtata akuundie mziki kwa hyo bajeti.
 
sasa nikawa namwambia jamaa. una floorstanding halafu unaongeza na subwoofer. mbona utapasua moyo hiyo bass hapo.
lipige kama lile trap la chis brown "wet"
me napenda effect za sauti wakàti nawatch movie na kucheza games.
wakati nna mpango wakuweka hippoxl102 mzigo unatoa 2000rms , voice coil ina inch 3 mamaeee
 
binafsi bdo sijakutana na speaker za kawaida zakunishawishi nisihitaji subwoofer.


halafu ona specs zake hpo kwnye low frequency inaanzia 50hz bass ya kawaida mnooooo mzee.View attachment 2340762
Bass ya kawaida? Kwenye makaratasi (specs) labda.

Nenda YouTube silikiza reviews zinasema nini kuhusu BASS yake na pia nenda amazon soma reviews za walionunua uone wanaongelea nini kuhusu BASS yake halafu uje hapa tuendelee kuongea.

Kiuhalisia watumiaji na reviewers huwa wanasema the Bass is too much, na hizi speakers zina option ya kupunguza Bass kama mtu anaona bass is too much for him..

I own them, so ninaongelea kitu ninachokifahamu.
 
Back
Top Bottom