Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

kelphin

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2019
Posts
9,872
Reaction score
16,319
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.

Karibu
images.jpg

Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.

Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au old model.

Hizo digital ni Aina ya subwoofer ambayo inamuundo wakisasa ,mala nyingi utakuta Ina (nob) kivingilisho Cha sauti kimoja tu.

Ila kinafanya multipurpose, ukibonyeza hyo hiyo nob unaweza ongeza sauti ,kuongeza bass, na mid.
kifupi mambo yote ni in one button.

Faida yake ni kuwa, aina ya power supply yake Ni ilitaka ifanane na ya home theater(Ila haijawahi[emoji2][emoji2inakua na umeme mnyoofu kidogo.

Zinakua na music mkubwa na mdundo zaidi ni digital,yaani yakisasa,
lakini pia display yake ni LCD haitumii umeme mwingi.

Je utaijuaje?
Nob ya kuongezea sauti ni moja tu na zaidi utakuta button za menu na input inategemeana). Ukiigeuza nyuma ina kiplastic kidogo kilichozungushwa nati, yaani ikiwa italeta shida fundi huku nyuma hafungui mfuniko wote wa nyuma, hufungua ki plastic tu hapo nyuma ndio kimebeba card zoote na subwoofer.

Hasara zake
  1. Ikitokea imeharibu card yake hauwez kubadilisha ,sababu ndani Ina circuit Kama ya phone mafundi weeengi hawana(hatuna) technology yakuitengeneza kwahyo unaenda dukani unanunua Tena kard na si chini ya 40000.
  2. Ila ukifika unaipachika tu huangaiki.
  3. Inahitaji utulie ili uioperate maana inatumia single nob.
  4. Speaker yake ya bass huwekwa ohms ndogo ili idunde sana kwahiyo usipende kuweka sauti kubwa Sana kwa muda mrefu.

Aina ya pili ndio zile old model
Hizo zinaitwa dunda udundavyo ni nzuri kwenye uzuri wake. Yenyewe ukiingalia utakuta Ina nob yaani vile vyakuongezea sauti zaidi ya kimoja. Yaani cha master volume, bass, tweeter na mic, na ukivizungusha vinafika mwisho.

Yenyewe ndani power supply yake ni ya kawaida, inatumia mtransformer wake na diodes za kawaida. kisha umeme huingia kwenye capacitor ndio unaanza kusambazwa ndani. Yaweza kuwa Seapiano, Codjec Aborder au vyovyote. Ukiigeuza nyuma mfuniko wote unafunguka wa nyuma.

Faida yake
  1. ikizingua unaiweza kuirekebisha kiurahisi tu
  2. Zinavumilia sana
  3. Hata muziki upo pia
  4. Rahisi kuitumia
Hasara zake
  1. Display yake ni VFD kama ni seapiano hapa mbele inakioo,inavyoimba Kuna vitu vinacheza cheza kwenye kioo(hii ni kwa baadhi ya subwoofer)
  2. Muonekano wake ni wakizamani ikilinganishwa na hizi mpya

Soma hi pia [emoji1427]
Ndani ya subwoofer panya hupenda kuishi humo, huzaliana na kuleta hitilafu kwa kukata nyaya na kula speaker.
Waya wa speaker una chumvi chumvi hivyo akiingia hauachi.

Simple way jinsi ya kudhibiti
Pale kwenye tobo kuna ki corn cha duara huwa wanakipachika unaweza kukitoa kwa kufuata mpangilio ufuatao:

  1. Chukua maji ya moto kidogo na kitambaa, kichovye kitambaa kwenye maji kisha kikande kuzunguka mduara kwa dakika tano.
  2. Kisha chukua kisu, tumia ncha yake kuingiza pembezoni mwa mduara bila kuikwajua. Huku ukiinua kidogo kidogo kuzunguka corn nzima,ukisha kitoa kitoboe vitundu vidogo kukizunguka upande wa ndani(sio Huku uliko Kanda kwa maji).
  3. Ukisha kitoa chukua waya mgumu usuke upande wa ndani kuzunguka uwazi wa duara wote mule ulimotoboa, kisuke hakikisha unaacha vyumba vidogovidogo kiasi kwamba kinaweza kupita kidore kidogo tu.
  4. Paka gundi upande wa ndani, huku ulikokua unakanda na maji kisha kibandike tena kama kilivyokuwa.

NB: Hii ni kwazile subwoofer kama pichani hapo juu, ambazo hutolea upepo pembeni kwenye kiduara. Wale zinazotolea mbele chini ni habari nyingine.

***
Kiasi chake mtanielewaView attachment 1560194View attachment 1560195

Some updates,
Je, music system yako haina bluetooth na unataka kuongezea? Easy sana na inawezekana pia, kwa mafundi ninaweza kuwaelekeza.

Lakini pia music system yako ulipenda itoe mp5, yaani picture, video inawezekana pia[emoji3][emoji3].
Hususani wale wenye TV za kizamani yaani unachomeka flash disk yako kwenye subwoofer, unapata mdundo alafu kuna cable itatoka kwenye subwoofer hadi kwenye TV yako.

Stay here.
More good things are here.
Welcome.

View attachment 1921368
View attachment 1921369
 
IMG_8516.jpg

Katika maswali niliyoulizwa sana ni je inawezekana kutumia sound system za magari nyumbani?
Wengi wakisikia zile bass za kwenye magari wanatamani kama wangetumia au wangeisikia seating room au getto
Ila je inawezekana?
Kwasababu subwoofer/home theater zilizo nyingi hazifikii ile bass!
Nianze kwa kusema hivi
Mziki una mambo mengi
Unapoona ile sound inakita vile basi jua ni kutokana na muunganiko wa vitu vingi!
Na muunganiko huo ndio system ya mziki
Ubora wa vifaa hivyo ndio ubora wa sound hiyo na usikivu mzuri
Lakini kuna kitu kimoja ambacho ndio kikwazo namba moja ambacho kinasababisha kufanya ugumu kutumia sound system hizo nyumbani
Umeme wa nyumbani ni 220v-240v hivi ila current yake ni kama 13 hiv per single phase
Ila umeme wa kwenye gari ni 12v tu ila current yake ni 40+ampere

Current inayotembea kwenye waya ndio muhimu kwasababu current ndio UMEME WENYEWE!
Chaja ya kisimbuzi cha AzamTV hua ni 12v
Sawa na 12v za betri ya gari
Ila utofauti ni output current ya hivi vitu viwili

Je hizi busta utaziwasha na nini? Ok tuseme uweke transformer ili ipunguze voltage then ugeuze ac hizo kwenda dc hi ni rahisi na inawezekana ila je hiyo transformer yako itakupa 40+ current? Definitely inawezekana kuwa ngumu kidogo
Ndio maana inawezekana kua vigumu kidogo kutumia system hizi kwenye nyumbani
IMG_8515.jpg

IMG_8517.jpg

[emoji1369] hiyo ni equlizer + crossover ya ku tume mziki
Can you imagine sound ipite hapo ndio iende kwenye amplifier zako unadhani usikivu wake utakuaje?
IMG_8518.jpg

Finally check spika kama hizi
Zinataka power ya maana ku drive
Zinatak mashine zenye afya na umeme wa uhakika
Unless utakua haujafanya kitu na hutapata unachokitaka
 
View attachment 2522183
Katika maswali niliyoulizwa sana ni je inawezekana kutumia sound system za magari nyumbani?
Wengi wakisikia zile bass za kwenye magari wanatamani kama wangetumia au wangeisikia seating room au getto
Ila je inawezekana?
Kwasababu subwoofer/home theater zilizo nyingi hazifikii ile bass!
Nianze kwa kusema hivi
Mziki una mambo mengi
Unapoona ile sound inakita vile basi jua ni kutokana na muunganiko wa vitu vingi!
Na muunganiko huo ndio system ya mziki
Ubora wa vifaa hivyo ndio ubora wa sound hiyo na usikivu mzuri
Lakini kuna kitu kimoja ambacho ndio kikwazo namba moja ambacho kinasababisha kufanya ugumu kutumia sound system hizo nyumbani
Umeme wa nyumbani ni 220v-240v hivi ila current yake ni kama 13 hiv per single phase
Ila umeme wa kwenye gari ni 12v tu ila current yake ni 40+ampere

Current inayotembea kwenye waya ndio muhimu kwasababu current ndio UMEME WENYEWE!
Chaja ya kisimbuzi cha AzamTV hua ni 12v
Sawa na 12v za betri ya gari
Ila utofauti ni output current ya hivi vitu viwili

Je hizi busta utaziwasha na nini? Ok tuseme uweke transformer ili ipunguze voltage then ugeuze ac hizo kwenda dc hi ni rahisi na inawezekana ila je hiyo transformer yako itakupa 40+ current? Definitely inawezekana kuwa ngumu kidogo
Ndio maana inawezekana kua vigumu kidogo kutumia system hizi kwenye nyumbaniView attachment 2522201
View attachment 2522202
[emoji1369] hiyo ni equlizer + crossover ya ku tume mziki
Can you imagine sound ipite hapo ndio iende kwenye amplifier zako unadhani usikivu wake utakuaje?View attachment 2522206
Finally check spika kama hizi
Zinataka power ya maana ku drive
Zinatak mashine zenye afya na umeme wa uhakika
Unless utakua haujafanya kitu na hutapata unachokitaka
hand made in Kenya hyo mkuu hzo bufa ni za gari by fosgate

jamaa noma na full mzigo hapo ni kma milion 3.2 sa kibongo.
20230219_020637.jpg
 
Hapa unanunua Tu power supply za HP Ipo ina 12v na 80A.. ukiweka hii utapata unachotaka ila bei yake ni 150000TSHS
 
Wapenda sounds nina amplifier brand Technics watts 520
made in Japan 🇯🇵
Used from abroad
Clean as new
Bei: 380k
Location: Dar es salaam
Mawasiliano:+255 786 407 039
20230304_094624.jpg

20230304_094634.jpg
@Extrovert
kelphin
20230304_094649.jpg
 
Wapenda sounds nina amplifier brand Technics watts 520
made in Japan [emoji627]
Used from abroad
Clean as new
Bei: 380k
Location: Dar es salaam
Mawasiliano:+255 786 407 039View attachment 2536612

View attachment 2536607@Extrovert
kelphin View attachment 2536603
Mkuu kwema.

Naona una vitu vizuri. Ila kuna jambo watu wengi sana wamekuwa wakikosea haswa wanapuzungumzia hizi Intergrated amps/power amps au AVR haswa kwenye swala la watts.

Watts zinazoandikwa hapo nyuma kwenye specifications za umeme ni matumizi ya juu ya umeme in watts kama chombo hicho kitakuwa comnected kwenye socket ya umeme na kuoperate at full capacity (power consumption in watts).

Sasa mtu anakuuzia amplifier anakuambia hii inagenerate 600 watts, yeye kasoma power consumption. Ukija kuangalia amplifier yenyewe unakuta specification labda ni 70 wpc @ 8ohms (20Hz - 20kHz).

Nadhani kuna umuhimu wa watu kuelewa hili kwanza, kisha wajue wananunua au kuuza kitu chenye watts ngapi.
 
Yess hiyo hua inakua peak power ikiwa itakua full
Inawezekana kucheza kwenye watts hizo
Pia watts zinashuka au kupanda ikitegemeana na speaker ohms
 
Yess hiyo hua inakua peak power ikiwa itakua full
Inawezekana kucheza kwenye watts hizo
Pia watts zinashuka au kupanda ikitegemeana na speaker ohms
Hilo watu wengi hawajui.

Sasa angalia the Specs of this power amp and its maximum power consumption at 2.6 Ohm, inakula 800 watts.
IMG-20230304-WA0005.jpg
 
Jaman mwenye utaalamu na hiki kituu,
Sea piano yangu nyeupe kila nikiunganishaa na Bluetooth kwenye laptop au simu inajidisconnect yenyewe tuu, shida nini jaman?? mwenye utaalamu jaman

Inawezekana Bluetooth yako inashida
Jaribu ku futa device zote kisha reconnect
 
Back
Top Bottom