Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.

Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K

Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa

Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura

Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi

Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana

Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko

Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.

Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4

Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi

Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Unawasaidiaje sasa?? Kazi kuleta porojo tu hapa.
 
Huna uweZo wa kuandika hapa jukwaani
Unakaa unafatilia wenye akili na maarifa tutaleta nini usome na uje kuhara hapa
JF imeruhusu hata ninyi Vilaza muwe mnaandika ili sisi wenye akili TUWAKOSOE. SASA ELEZEA 330 INAINGIAJE MARA 4 KWENYE 1000?😁 ULIDHANI HUMU MMEJAA NYIE TU DIVISION 5.
 
Kikubwa unapata maarifa yangu Bure.
Furahi
JF imeruhusu hata ninyi Vilaza muwe mnaandika ili sisi wenye akili TUWAKOSOE. SASA ELEZEA 330 INAINGIAJE MARA 4 KWENYE 1000?😁 ULIDHANI HUMU MMEJAA NYIE TU DIVISION 5.
 
JF imeruhusu hata ninyi Vilaza muwe mnaandika ili sisi wenye akili TUWAKOSOE. SASA ELEZEA 330 INAINGIAJE MARA 4 KWENYE 1000?😁 ULIDHANI HUMU MMEJAA NYIE TU DIVISION 5.
Acha shobo mrembo
Me nimeona ni mme wa mtu
 
Wana mpango gani mpaka sasa, wa kumsaidia jirani yake Congo?
 
Acha shobo mrembo
Me nimeona ni mme wa mtu
JF imeruhusu hata ninyi Vilaza muwe mnaandika ili sisi wenye akili TUWAKOSOE. SASA ELEZEA 330 INAINGIAJE MARA 4 KWENYE 1000?😁 ULIDHANI HUMU MMEJAA NYIE TU DIVISION 5.
 
Bibie hivi vitu vingine ni vyakawaida tu acha ligi za kike humu ndani
JF imeruhusu hata ninyi Vilaza muwe mnaandika ili sisi wenye akili TUWAKOSOE. SASA ELEZEA 330 INAINGIAJE MARA 4 KWENYE 1000?😁 ULIDHANI HUMU MMEJAA NYIE TU DIVISION 5.
 
Back
Top Bottom