Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Kuna mama mmoja ni afisa elimu (primary) yule mama nahisi hata uchawi ni mchawi
Kimeo pale ni afisa utumishi, amekuja na upuuzi flani ati watumishi wa Sikonge wanakopa sana, ameweka urasimu usiona maana kukopa mpaka barua ipite kwa mkuu wa idara, na DED, ndio aingize makato na hashindi ofisini dah watumishi wamelalamika na benki lakini ndio kaamua labda mwalimu Seleman amwambie arekebishe mambo, watu wanakopa kwa shida sio kwa raha
Huyo bibi haeleweki na bado hajapewa ofisi / anakaimu
 
Vipi kuhusu urambo nina mwanamke tokea huko....
Urambo ni mji mdogo ambao hauna mambo mengi sana, haujaendelea sana ila hauko nyuma sana.

Urambo kuna biashara nyingi za saizi ya kati hasa za maza, mifugo na huduma.

Wafanyabiashara wengi wa urambo ni waha, waarabu na wasukuma, wapo wahindi pia ila ni wachache.

Mji wa urambo umezungukwa na miji midogo mingi ambayo hupokea huduma kutoka mji.

Biashara kuu ya mazao urambo ni Karanga, Mahindi na mpunga lakini pia kuna mnada mkubwa sana wa mifugo unakuwepo kila siku ya ijumaa ukihudumia zaidi ya mifugo 300 kwa siku.

Kibiashara siyo mji mbaya sana maana umezungukwa na miji midogo midogo zaidi ya 9 inayotegemea huduma kutoka hapo.

Fursa zilizopo.
Viwanda vya kuwekeza usindikaji wa mazao ya kilimo hasa mafuta ya mbegu na unga na mchele.

Huduma za afya kutokana uwepo wa wingi wa watu.

Usafirishaji na huduma za malazi kwa sababu mji huu uko barabara kuu ya kwenda kigoma na ni kiunganishi cha mikoa mitatu na mkoa wa Tabora.

Kuna Benki mbili tu katika mkoa huu ambazo ni NMB na CRDB bank.

NB, mara yangu ya mwisho kufika kwenye mji huu ilikuwa 2018 huenda kuna mabadiliko mengine
 

Tangu 2018? Lazima kuna mabadiliko mengi mana miji ya huko inakua kwa kasi.
 
Sehemu kubwa ya wilaya ya Sikonge ni mapori tengefu.
 
Hivi ule ujinga wa Mabasi kutoka Dar kwenda MPANDA yakifika Sikonge yanazuiwa kuendelea na safari bado upooo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…