Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Nitakuuliza swali lilo nje ya mada..Samahani kwa hilo. Waweza jibu au lah, ila nitashukuru kwa mchango wako, je Mtemi Majebele, ni Msukuma au Mnyamwezi, au jina hilo linawahusisha Wanyamwezi au Wasukuma?
Na huyu Mtemi ni kweli alitawala sehemu za Tabora na Shinyanga kwa mpigo au?
Asante...
 
Vipi bado fisi wapo?
 
Majebele ni jina la kisukuma na si mnyamwezi na sijui kama kama alikuwa mtemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…