Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Nitakuuliza swali lilo nje ya mada..Samahani kwa hilo. Waweza jibu au lah, ila nitashukuru kwa mchango wako, je Mtemi Majebele, ni Msukuma au Mnyamwezi, au jina hilo linawahusisha Wanyamwezi au Wasukuma?
Na huyu Mtemi ni kweli alitawala sehemu za Tabora na Shinyanga kwa mpigo au?
Asante...
 
Wilaya ya Sikonge ipo kusini ya Mkoa wa Tabora, wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui kaskazini na upande wa mashariki inapatikana na mkoa wa Singida.

Kusini inapakana na mkoa wa Mbeya kusini magharibi inapatikana na mkoa wa katavi na upande wa magharibi inapatikana na wilaya ya Urambo.

Wenyeji wa wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.

Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga
Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.

Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Vipi bado fisi wapo?
 
Majebele ni jina la kisukuma na si mnyamwezi na sijui kama kama alikuwa mtemi

Back
Top Bottom