Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

ha ha ha

Iwensato ilikuwa ni kijiji kikubwa mno kabla ya operration vijiji miaka ya 70. Kwa sasa ni mapori matupu - tukiwa wadogo tulikuwa tunakwenda kule kuchuma Mapera, Maembe na matunda mwitu kama nsungwi, ntarali na zambarao nk
Nsungwi matunda haya matam sana.
 
Wanasifa gani hasa wanawake wa kinyamwezi ?
 
Kwa mazinge tupo pana Hospital ya Wilaya na watu wanajenga na Barabara kuu ya rami inayotoka Tabora imekuja tokezea hapo imepita nyuma ya Sikonge madukani
Vipi maeneo ya Mwanambuya, nasikia hata Mazinge watu wameanza kujenga. Nasiku nyingi sijafika Sikonge
 
Malazi zipo hotel 2 na guests za kutosha kwa upande wa chakula wanyamwezi chakula chao kikuu ni ugali mzunguko wa umeanza kuwa mzuri baada ya barabara ya kuelekea mkoa wa Katavi kupitika kwa misimu yot
Kwanini wanaume wa sikonge ni mboga mboga yaani laini laini?
Wilaya ya skonge ina wastani wa watu wa ngapi?
 
ha ha ha

Iwensato ilikuwa ni kijiji kikubwa mno kabla ya operration vijiji miaka ya 70. Kwa sasa ni mapori matupu - tukiwa wadogo tulikuwa tunakwenda kule kuchuma Mapera, Maembe na matunda mwitu kama nsungwi, ntarali na zambarao nk
Kipanga na lukula ni vijiji vilivyosifika kwa kuwa na maembe mengi sana,
Bila kusahau matunda ya mfulu.
 
Ni kubwa ila ni ndogo sana kwa wilaya ya simanjiro
 
Unajua mamba mpaka ukishiriki ndiyo uatayajua ninachojua akina mama wa kinyamwezi ni wataratibu sana na hasa wale waliokulia kijijini na wanauwezo wa kupika vizuri na hasa kwa kutumia kiongo cha Karanga mambo haya hupelekea muoji akazama na watu wa pembeni wakadai ni limbwata
Kuhusu Limbwata rudi upya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…