Asali ya tabaora ina viwango duni kwakuwa ina vionjo vya Tumbaku "nicotine"Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Yaani kina nyenge na mlevi wameshindwa kugombea hata udiwaniDiwani wenu mchaga.Nyie noma
Wacha kelele Iwensanto, hebu kimbia hapo kwa mzee Seif unichukulie namba ya simu ya Rehma!Ukitaka wachumba wa kuoa wanapatikana
Kidugalo ni kituo cha wagonjwa wa ukoma na siyo hospitaliBaadaye kutakuja endelea maana kule juu kuna majumba mazuri waliokuwa wanaishi Madaktari wa kizungu na kwa pembeni kuna Hospital ya Kidugalo
Umeongea fact sana[emoji120],la nyongeza wanaume wa skg ni wavivu sikonge imechangamshwa na watu kutoka nje mkoa wa Tabora hususan watumishi wa serikali pamoja na wa sector binafsi, mfano waliojenga nyumba nzuri nzuri,na wenye biashara za kueleweka ni watu kuja(wazawa wanapenda kazi laini laini hususan kuwaabudu na kuwatumikia mkoloni wao mwaarabu)Iwensato hongera kwa kuitangaza sikonge vizuri.Huo ni Uzalendo kweli.
Naomba niweke takwimu sahihi kidogo kuhusu SKG.
Nyoka hatari zaidi ni Hugo uliyemtaja kwa kiswahili -Koboko (Black Mamba).sio Cobra(Swila).
Wanajamii Sikonge ni pazuri kama sehemu nyingine Tz.
Zipo changamoto ambazo Mimi kwa uzoefu wangu wa muda ambao niliishi skg(2010 - 2017).
1. Unyamwezi umezidi sana - Wizi wa kuku,kuvunja nyumba watu wakiwa makazini umezidi aisee.
Sio wanaofanya hivyo ni wanyamwezi wote ni baadhi ya wakosa kazi wa Usega/Misheni na madukani kwa waarabu,wanapachafua sikonge sana,Hawawachukulii sheria mkononi kama watu wa mikoa mingine wanavyofanya! Unakuta mwizi wa kuku na TV za watu ni Mtoto wa Shangazi inabidi mnyamwezi atupe fimbo aanze kumtetea binadamu yake.
Wanyamwezi wanapata hela lakini sio risk takers! Wameucha uchumi mikononi mwa waarabu (I don't like it).
Wageni njooni sikonge mfaidike Luna fursa balaaa.
Asali,mbao,Mazao,Maeneo na nk.
Naomba kutoa hoja.

ukipita kitunda ile mission inayofuatia..Misheni na 2 unamaanisha kama unaenda Kipanga au unaenda Kwamazinge
Iwensato hongera kwa kuitangaza sikonge vizuri.Huo ni Uzalendo kweli.
Naomba niweke takwimu sahihi kidogo kuhusu SKG.
Nyoka hatari zaidi ni Hugo uliyemtaja kwa kiswahili -Koboko (Black Mamba).sio Cobra(Swila).
Wanajamii Sikonge ni pazuri kama sehemu nyingine Tz.
Zipo changamoto ambazo Mimi kwa uzoefu wangu wa muda ambao niliishi skg(2010 - 2017).
1. Unyamwezi umezidi sana - Wizi wa kuku,kuvunja nyumba watu wakiwa makazini umezidi aisee.
Sio wanaofanya hivyo ni wanyamwezi wote ni baadhi ya wakosa kazi wa Usega/Misheni na madukani kwa waarabu,wanapachafua sikonge sana,Hawawachukulii sheria mkononi kama watu wa mikoa mingine wanavyofanya! Unakuta mwizi wa kuku na TV za watu ni Mtoto wa Shangazi inabidi mnyamwezi atupe fimbo aanze kumtetea binadamu yake.
Wanyamwezi wanapata hela lakini sio risk takers! Wameucha uchumi mikononi mwa waarabu (I don't like it).
Wageni njooni sikonge mfaidike Luna fursa balaaa.
Asali,mbao,Mazao,Maeneo na nk.
Naomba kutoa hoja.
Umeongea fact sana[emoji120],la nyongeza wanaume wa skg ni wavivu sikonge imechangamshwa na watu kutoka nje mkoa wa Tabora hususan watumishi wa serikali pamoja na wa sector binafsi, mfano waliojenga nyumba nzuri nzuri,na wenye biashara za kueleweka ni watu kuja(wazawa wanapenda kazi laini laini hususan kuwaabudu na kuwatumikia mkoloni wao mwaarabu)
Mlevi no mdogo wangu kabisa,Yaani kina nyenge na mlevi wameshindwa kugombea hata udiwani
umewahi kumuona koboko live?Koboko ndo wengi huko maana sikonge imefungwa na pori kubwa