Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Magando unayakumbuka?
 
Hivi huko si ndiyo kuna waarab wengi na majini pia? Nasikia kila baada ya nyumba 3 watu wanafuga misukule ama majini, usipofanya hivyo wenzako wanakushangaa....ni kweli hii?
 
Sikonge ina ukubwa gani?.Mita za mraba.
 
Waarabu wapo kiasi habari za majini na misukule sijapata kusikia
Hivi huko si ndiyo kuna waarab wengi na majini pia? Nasikia kila baada ya nyumba 3 watu wanafuga misukule ama majini, usipofanya hivyo wenzako wanakushangaa....ni kweli hii?
 
Mkuu labda unasaidie unasema 1.3 kimahesebu inamaanisha nn
Hiyo 149,883 mbona sijaiona? Au ume edit tena? Mana ulisema Laki 149.8 ndiyo maana nikauliza hicho ni kiasi gani kwa tarakimu?
 
Tatizo la maji bado lipo kama unavyojua Sikonge haina vyanzo vya uhakika vya maji
Afu kipindi mgodi wa kitunda unaanza maji walikua wananunua mission kuna boza lilikua linachukua mission na kuuza pale mgodini sijui hali ikoje siku hizi
 
Afu kipindi mgodi wa kitunda unaanza maji walikua wananunua mission kuna boza lilikua linachukua mission na kuuza pale mgodini sijui hali ikoje siku hizi
siku hizi naona kuna mabomba na kuna watu wanasambaza nmetoka pale 2019 ila kumepoa saaana..
 
ha ha ha

Iwensato ilikuwa ni kijiji kikubwa mno kabla ya operration vijiji miaka ya 70. Kwa sasa ni mapori matupu - tukiwa wadogo tulikuwa tunakwenda kule kuchuma Mapera, Maembe na matunda mwitu kama nsungwi, ntarali na zambarao nk
Hahaha Mkuu FUSO

Vipi barabara imeshakamilika nataka nipite huko kuelekea Mpanda...Mkuu pub gani hapo Sikonge nzuri na Guest nataka kupiga kambi hapo few days ...ntakuja na Boing Coast LINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…