Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magando unayakumbuka?Matobolwa Nsansa makewe uyoga asali vitu hivyo katika soko la Sikonge havikosekani Vilindo vyungu vipo ila vilindo vimeanza kupungua.
Wale wadudu wanaopatikana kwenye miti iliyooza hivi vilikuwa vinapatikana zaidi Inyonga
Matini ilikuwa ni chakula cha akina mama zaidi
Hivi huko si ndiyo kuna waarab wengi na majini pia? Nasikia kila baada ya nyumba 3 watu wanafuga misukule ama majini, usipofanya hivyo wenzako wanakushangaa....ni kweli hii?Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.
Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.
Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.
Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.
Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Sikonge ina ukubwa gani?.Mita za mraba.Wilaya ya Sikonge ipo Kusini ya Mkoa wa Tabora, Wilaya hii inapakana na Wilaya ya Uyui Kaskazini na upande wa Mashariki inapatikana na Mkoa wa Singida.
Kusini inapakana na Mkoa wa Mbeya Kusini Magharibi inapatikana na Mkoa wa Katavi na upande wa Magharibi inapatikana na Wilaya ya Urambo.
Wenyeji wa Wilaya hii ni wanyamwezi huku shughuli zao zikiwa ni kilimo ufugaji na uwindaji.
Mazao yao makuu yakiwa ni Mahindi, Maharagwe, Karanga, Mhogo na Mpunga. Huku zao kubwa la biashara likiwa ni Tumbaku.
Wilaya hii inajishughulisha pia katika ufugaji wa nyuki na inasemekana kuwa asali ya Tabora ndiyo asali iliyobora kuliko maeneo mengine yote katika nchi yetu.
Hivi huko si ndiyo kuna waarab wengi na majini pia? Nasikia kila baada ya nyumba 3 watu wanafuga misukule ama majini, usipofanya hivyo wenzako wanakushangaa....ni kweli hii?
Hiyo 149,883 mbona sijaiona? Au ume edit tena? Mana ulisema Laki 149.8 ndiyo maana nikauliza hicho ni kiasi gani kwa tarakimu?Mkuu hujaelewa 149,883
Ni ngumu sana kukuelewa mkuu, usijejaribu kufanya kazi ya ualimu, utafelisha watoto wa watu wote. Anyway thanks for your reply.Mkuu labda unasaidie unasema 1.3 kimahesebu inamaanisha nn
ukipita kitunda ile mission inayofuatia..
Shukrani, basi nitakuja kutembeaWaarabu wapo kiasi habari za majini na misukule sijapata kusikia
Afu kipindi mgodi wa kitunda unaanza maji walikua wananunua mission kuna boza lilikua linachukua mission na kuuza pale mgodini sijui hali ikoje siku hizi
siku hizi naona kuna mabomba na kuna watu wanasambaza nmetoka pale 2019 ila kumepoa saaana..Afu kipindi mgodi wa kitunda unaanza maji walikua wananunua mission kuna boza lilikua linachukua mission na kuuza pale mgodini sijui hali ikoje siku hizi
Hahaha Mkuu FUSOha ha ha
Iwensato ilikuwa ni kijiji kikubwa mno kabla ya operration vijiji miaka ya 70. Kwa sasa ni mapori matupu - tukiwa wadogo tulikuwa tunakwenda kule kuchuma Mapera, Maembe na matunda mwitu kama nsungwi, ntarali na zambarao nk