Niulize chochote nitakujibu

Niulize chochote nitakujibu

Wazanzibar wanatusaidia nn katika huo ulinzi?
Visiwa vya Pemba na Unguja kimkakati katika usalama wa Tanganyika ulikuwa ni muhimu sana katika kipindi hicho cha kujinasua na ubepari
 
Nitamwambia,"Nakukumbuka kwa kunifungulia ulimwengu wa mapenzi"
Je ukiambiwa umtuze ww ungetamani kumpa tuzo ya aina gani?
Na akikuhitaji tena kwa kuomba msahau yaliyopita anahitaji sasa akuoe utakuwa tayar?
 
Asante mjuni umemkumbusha
Huyu kasema maksudi lugha anazofahamu ni kiswahili na kigiriki ili akwepe kiingereza, kumbe kigiriki hajui ameishia kutunga vichekesho tu. Yote hii ni kukwepa kuulizwa kiingereza.
 
Huyu kasema maksudi lugha anazofahamu ni kiswahili na kigiriki ili akwepe kiingereza, kumbe kigiriki hajui ameishia kutunga vichekesho tu. Yote hii ni kukwepa kuulizwa kiingereza.
Sema labda hujui kigiriki
 
Tangu kuzaliwa kwako umeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wangapi?
Kwa nn hakuna kati yao aliyekuoa?
Zipi kasoro zao na yap mazuri uliyowahi kujifunza kutoka kwao?
Watatu,walikuwa waongo,na si waaminifu
 
Je ukiambiwa umtuze ww ungetamani kumpa tuzo ya aina gani?
Na akikuhitaji tena kwa kuomba msahau yaliyopita anahitaji sasa akuoe utakuwa tayar?
Tuzo yake ni kutomsahau,hawez akanioa kwa sababu alishaoa
 
Pili.Miguno ya mwanamke unapofanya nae tendo huwa inamaanisha nini Maumivu au raha
 
Back
Top Bottom