Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ukiambiwa umtuze ww ungetamani kumpa tuzo ya aina gani?Nitamwambia,"Nakukumbuka kwa kunifungulia ulimwengu wa mapenzi"
Huyu kasema maksudi lugha anazofahamu ni kiswahili na kigiriki ili akwepe kiingereza, kumbe kigiriki hajui ameishia kutunga vichekesho tu. Yote hii ni kukwepa kuulizwa kiingereza.Asante mjuni umemkumbusha
Ooh! Sawa,Nilimaanisha asiyependa ngono za Wanawake wengi( kama ni kwangu sawa)
Career yako ni ipi?Mimi sio mtaalam wa magonjwa
Swali la kizushi, MAJI yapo?Nakuwa wazi kwa kila kitu,mawasiliano,kumjali kwa kile anachohitaji afanyiwe,na kumlinda
Kama hutomsahau huoni kuwa inaweza ikakupa athari kwa mumeo ajaye kwa sababu moyoni mwako kuna mtu bado anaishi?Tuzo yake ni kutomsahau,hawez akanioa kwa sababu alishaoa
Kwa "bibi" akati ya mambo yetu yale[emoji2]Wapi