Ningependa unieleze kinagaubaga zaidi i mean nikivipi huo uchumi unakwaza kukua na kushuka kwa thamani ya fedha..?Thamani ya fedha inachangiwa sana na uchumi wa nchi husika....lakini upande wa euro ina thamani kuliko dollar,ipo hivi KENZY uchumi wa nchi za ulaya upo stable sana....ndio maana wamemaintain hilo jambo...lakini ukiangalia kitokana na uingereza kujitoa euro imeshuka thamani uchumi wa nchi zao umeathirika
by emma mjasiriamali
au ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?Maisha yanafaida tu kama unayaishi responsibly...ila vinginevyo maisha hayana faida....jibu:maisha yana faida kwakuwa tunakutana na changamoto na kujua tusivyovijua
by emma mjasiriamali
Kila kiumbe anafaidika kwa namna yake....circle iliyopo inamfanya kila kiumbe afaidike,hata hao walio maporini kuna faida ambazo wanafaidi kusurvive...mfano,swala analiwa na simba....lakini swala anakuka manyasi,manyasi yanafaida kwa swala na swala anafaida kwa simba...au ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?
Tunakula ili tuishi....kwa kuzingatia hili,tungeweza kuishi bila kula basi tusingekula maishani...ila kwakuwa tusipokula tunakufa basi hii inamaanisha tunakula ili tuishiHivi tunaishi ili tule au tunakula ili tuishi
magnus
duh! sidhani kama umeelewa swali jaribu kusoma tenaKila kiumbe anafaidika kwa namna yake....circle iliyopo inamfanya kila kiumbe afaidike,hata hao walio maporini kuna faida ambazo wanafaidi kusurvive...mfano,swala analiwa na simba....lakini swala anakuka manyasi,manyasi yanafaida kwa swala na swala anafaida kwa simba...
by emma mjasiriamali
Ukitoa viumbe wa hapa duniani ni mwenye enzi MUNGU ndio anafaidika kwa kupata furaha na faraja kutoka kwa viumbe vyake...na unknown Gods pia wanafaidika kwa uwepo wa viumbe dunianiau ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?
Khaaaa....siafu hana kilo
Mende hana utaratibu wa kuvunja ungo
........Saivi msiniulize kwanza nina mawazo mengi uwezo wa kufikiri umepungua
by emma mjasiriamali
Unasababishwa na ile raha ya mtitigo aliopata wakati inaingia mimba ya mwanae, kuzaa na mtu aliyempenda,stress na adha au raha za mimba, uchungu wa kuzaa,kuwa na uhakika wa kumiliki kitu na kikawa chake kweli tena chenye thamani kuliko vyote,na kilicho hai....Hivi upendo wa mama kwa mwanae una sababishwa na nini,yani ni kipi chenye kumfanya mama na upendo kwa mwanae?
"trust me i may be of big help to u" labda ungeandika hv "trust me,i can be big help to you"
Maswali bado yanaendelea??