Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Thamani ya fedha inachangiwa sana na uchumi wa nchi husika....lakini upande wa euro ina thamani kuliko dollar,ipo hivi KENZY uchumi wa nchi za ulaya upo stable sana....ndio maana wamemaintain hilo jambo...lakini ukiangalia kitokana na uingereza kujitoa euro imeshuka thamani uchumi wa nchi zao umeathirika

by emma mjasiriamali
Ningependa unieleze kinagaubaga zaidi i mean nikivipi huo uchumi unakwaza kukua na kushuka kwa thamani ya fedha..?
 
Maisha yanafaida tu kama unayaishi responsibly...ila vinginevyo maisha hayana faida....jibu:maisha yana faida kwakuwa tunakutana na changamoto na kujua tusivyovijua

by emma mjasiriamali
au ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?
 
au ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?
Kila kiumbe anafaidika kwa namna yake....circle iliyopo inamfanya kila kiumbe afaidike,hata hao walio maporini kuna faida ambazo wanafaidi kusurvive...mfano,swala analiwa na simba....lakini swala anakuka manyasi,manyasi yanafaida kwa swala na swala anafaida kwa simba...

by emma mjasiriamali
 
Hivi tunaishi ili tule au tunakula ili tuishi

magnus
Tunakula ili tuishi....kwa kuzingatia hili,tungeweza kuishi bila kula basi tusingekula maishani...ila kwakuwa tusipokula tunakufa basi hii inamaanisha tunakula ili tuishi

by emma mjasiriamali
 
Tafsiri zipo mbili....kwa namna moja na sababu zake ni bora tutawaliwe...ila tafakuri yenye nguvu ni bora tujitawale wenyewe....tunakosa uzalendo,selfishness ndio sababu ya haya mambo yote...lakini pia wazungu hawakuacha tuwe huru...ila walifanya kitu kinachoweza kutufanya tuonekane tupo huru lakini ukweli ni kwamba bado wanatutawala wametuacha kuwa tegemezi...kwahiyo unakuwa hauna jinsi lazima uwe chini yao....wababu zetu walipigana angalau hata huo uhuru fake tunao kuliko ilivyokuwa mwanzo...sasa inaitwa ukoloni mambo leo au utumwa wa fikra

by emma mjasiriamali
 
Kila kiumbe anafaidika kwa namna yake....circle iliyopo inamfanya kila kiumbe afaidike,hata hao walio maporini kuna faida ambazo wanafaidi kusurvive...mfano,swala analiwa na simba....lakini swala anakuka manyasi,manyasi yanafaida kwa swala na swala anafaida kwa simba...

by emma mjasiriamali
duh! sidhani kama umeelewa swali jaribu kusoma tena
 
au ngoja nibadili swali.. ni nani anafaidika na maisha yetu hapa duniani(toa viumbe wa hapa duniani) na anafaidika kivipi..?
Ukitoa viumbe wa hapa duniani ni mwenye enzi MUNGU ndio anafaidika kwa kupata furaha na faraja kutoka kwa viumbe vyake...na unknown Gods pia wanafaidika kwa uwepo wa viumbe duniani

by emma mjasiriamali
 
Saivi msiniulize kwanza nina mawazo mengi uwezo wa kufikiri umepungua

by emma mjasiriamali
 
Hivi upendo wa mama kwa mwanae una sababishwa na nini,yani ni kipi chenye kumfanya mama na upendo kwa mwanae?
Unasababishwa na ile raha ya mtitigo aliopata wakati inaingia mimba ya mwanae, kuzaa na mtu aliyempenda,stress na adha au raha za mimba, uchungu wa kuzaa,kuwa na uhakika wa kumiliki kitu na kikawa chake kweli tena chenye thamani kuliko vyote,na kilicho hai....
Na mwisho nature pia inahusika .....etc..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"trust me i may be of big help to u" labda ungeandika hv "trust me,i can be big help to you"
 
Back
Top Bottom