Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Nikimtongoza Miss Chaga naweza kumpata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza kwako huku kunaweza kukakufanya umkose....maana wanawake hawapendi mara nyingi kuwa matangazo labda awe anataka kitu kwako,ila kimsingi emotional ni kitu cha kwanza,sioni kama una any emotional feelings for her.

by emma mjasiriamali
 
Details zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaona anavyo waSUE viongozi na wawekezaji wasio na maana na kirudisha hela zifanye maendeleo ya ujumla....tukizungumzia expropriotinal kwa lugha ya jumla tunapata ndio....tukitumia mifano pia ya walimbikiza kodi,iptl,manji na wengine wengi

by emma mjasiriamali
 
Ndio kiongozi huwa naangalia sana...na ni mpenzi wa hizo movies za mfumo wa series...bila shaka unataka kuniuliza ni zipi huwa naziangalia...

by emma mjasiriamali
Nandembako search engine

Bila shaka, naomba uniambie series nzuri iliyokuvutia ukaipenda hata wewe yenye mafundisho na maadili mazuri na uielezee kwa ufupi ilikua inahusu nn

Nitupie na link ikiwezekana na mm niipakue

Muhenga tozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna series kama tatu zinakiki kichwani mwangu kwa muda wote...
1.shameless-inahusu familia moja ya baba mlevi sana,ambaye ameiacha familia yake inajiendesha yenyewe....matokeo yake yamefanya watoto wanaishi maisha ya kuunga unga sana,wameingia tabia za ajabu ni series nzuri pia ni comedy,mzee kwa ajili ya ulev na ukata ameingia kwenye matukio ya ajabu hatari.
Supernatural-inazungumzia kwa ujumla nguvu za ajabu na kwa kiwango kikubwa imegusa kwa kiasi fulani maisha yetu sisi....humo kuna mapepo,akina lucifer,malaika mbali mbali...ni kama inazungumzia mazingira ya kale kabla ya existence ya dunia yetu

by emma mjasiriamali
 
Kama unatumia pc kuna website ina www.eztv.it ukiwa na torrents humo kuna series mpka utachoka mkuu,ukiwa kwenye simu kuna software inaitwa HD MOVIES NA A NEW MOVIES HD humo utapata movie mpya kabisa za 2017...nakitumia link,ila kama una android

by emma mjasiriamali
 
Softek IT Consult: Newest Movies HD Pro v2.6 (Android) cheki hii link ndio inasoftware ya movies ya android and enjoy.


by emma mjasiriamali
 
Kwanini wengine wanafurahia sana mahusiano yao ya kimapenzi na wengine wanalia na kujutia? siri au tatizo ni nini?
 
kuna dawa yeyote ya kurudisha uimara wa uume legelege uliosababishwa na punyeto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini zoezi la ukaguzi wa vyeti bandia lilifanyika kwa watumishi wa kawaida tu lakini watumishi wa ngazi ya juu kama mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wilaya hawakuguswa? tatizo ni nini?
 
Kwanini wengine wanafurahia sana mahusiano yao ya kimapenzi na wengine wanalia na kujutia? siri au tatizo ni nini?
Kuna vitu viwili hapa katika kufurahia
1.kuna wanaovumilia changamoto na kuziona za kawaida hawa wanafuraha yao...na unaona muda mwingi hawagombani
2.Wapo wanaoficha tofauti zao mbele ya macho ya jamii,hawa sisi tunaona wanafuraha ila ndani yao kuna shida kubwa
Hii inamaanisha mahusiano yote yanachangamoto ila ni vile watu wanayachukulia,kinyume cha majibu hayo mawili ndio majibu ya mahusiano ambayo tunayaona yanamigongano mingi...ila mkuu kimsingi kwa asilimia kubwa mahusiano mengi yanashida nowdays tunachohitaji ni kuwa na moyo wa uvumilivu na kuchukulia baadhi ya udhaifu wa mwenzio kama ulivyo,vinginevyo unaweza ukaona unabadirisha mwanamke/mwanaume kila kukicha...nothing is perfect kwa jicho la binadamu wa kawaida.

by emma mjasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…