Mshikawezi Mwizi
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 751
- 375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Details zaidi.Sure can relate to that sir....our goverment is doing that.
by emma mjasiriamali
Unadhani hivyo kwa kila kitu kiongozi....Google assistant
Kuuliza kwako huku kunaweza kukakufanya umkose....maana wanawake hawapendi mara nyingi kuwa matangazo labda awe anataka kitu kwako,ila kimsingi emotional ni kitu cha kwanza,sioni kama una any emotional feelings for her.
Tunaona anavyo waSUE viongozi na wawekezaji wasio na maana na kirudisha hela zifanye maendeleo ya ujumla....tukizungumzia expropriotinal kwa lugha ya jumla tunapata ndio....tukitumia mifano pia ya walimbikiza kodi,iptl,manji na wengine wengi
NitakuPmHasante Mkuu kwa majibu yako,Mimi nimeokoka na kuhusu historia yangu ningeomba kupata namba yako ya simu ili tuwasiliane kama hutojali
Sky
Nandembako search engineNdio kiongozi huwa naangalia sana...na ni mpenzi wa hizo movies za mfumo wa series...bila shaka unataka kuniuliza ni zipi huwa naziangalia...
by emma mjasiriamali
Kuna series kama tatu zinakiki kichwani mwangu kwa muda wote...Nandembako search engine
Bila shaka, naomba uniambie series nzuri iliyokuvutia ukaipenda hata wewe yenye mafundisho na maadili mazuri na uielezee kwa ufupi ilikua inahusu nn
Nitupie na link ikiwezekana na mm niipakue
Muhenga tozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sky sio jina lako ni nickname ndio maana inaeza niwia ngumu
Kama unatumia pc kuna website ina www.eztv.it ukiwa na torrents humo kuna series mpka utachoka mkuu,ukiwa kwenye simu kuna software inaitwa HD MOVIES NA A NEW MOVIES HD humo utapata movie mpya kabisa za 2017...nakitumia link,ila kama una androidNandembako search engine
Bila shaka, naomba uniambie series nzuri iliyokuvutia ukaipenda hata wewe yenye mafundisho na maadili mazuri na uielezee kwa ufupi ilikua inahusu nn
Nitupie na link ikiwezekana na mm niipakue
Muhenga tozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi sijawahi....mara nyingi changamoto nakutana nazo nazichukulia kawaida,hata wakati uwe mgumu kuna mambo ambayo na amini,sijawahi kidata mkuu
Softek IT Consult: Newest Movies HD Pro v2.6 (Android) cheki hii link ndio inasoftware ya movies ya android and enjoy.Nandembako search engine
Bila shaka, naomba uniambie series nzuri iliyokuvutia ukaipenda hata wewe yenye mafundisho na maadili mazuri na uielezee kwa ufupi ilikua inahusu nn
Nitupie na link ikiwezekana na mm niipakue
Muhenga tozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatumia pc kuna website ina www.eztv.it ukiwa na torrents humo kuna series mpka utachoka mkuu,ukiwa kwenye simu kuna software inaitwa HD MOVIES NA A NEW MOVIES HD humo utapata movie mpya kabisa za 2017...nakitumia link,ila kama una android
by emma mjasiriamali
kuna dawa yeyote ya kurudisha uimara wa uume legelege uliosababishwa na punyeto?Ndio mkuu,maana wakati unapiga punyeto unatumia nguvu kuukaza uume wako ili kufikia mshindo,jambo hilo linasababisha misuli kupunguza uwezo wake wa kusimama kwa muda mrefu kama zamani,pia inakuathiri kisaikolojia ukiendekza...piga punyeto kwa wastani sio ikawa kawaida.
by emma mjasiriamali
Kuna vitu viwili hapa katika kufurahiaKwanini wengine wanafurahia sana mahusiano yao ya kimapenzi na wengine wanalia na kujutia? siri au tatizo ni nini?