nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
- #301
Nitajie kabila halisi la Mkoa Kagera..
Bahaya siku hizi wanaitwa wahaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitajie kabila halisi la Mkoa Kagera..
Sa hapo mbona aliyekosolewa ndio yupo sahihi wajameni! [emoji13]
Mwanamke kutokuwa serious kivipi,na unadeal vipi na mtu wa namna hio?
Gud...
Kwanini wapare ni wafupi
Receipt 44.4%9
A machine that cost £35,000 is operated 8 hours a day in a 5-day week but one hour each day is used for test purposes. For use of the machine there are three scales of charges, the first at the rate of £5 an hour for private use, the second at £15 an hour for research work and the third at £40 an hour for commercial work. It is estimated that the number of hours charged at the first, second and third rates are in ratios 4:2:1. What percentage of total receipts do receipts from commercial work represent?
Receipt 44.4%Ni vizuri kujua mambo mengi lakini sio kujua vyote.ni mtazamo wangu tu
Receipt 44.4%Ni vizuri kujua mambo mengi lakini sio kujua vyote.ni mtazamo wangu tu
44.4%Mbona unakomoa watu mkuu??[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
44.4%Mbona unakomoa watu mkuu??[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hivi kwenye maisha kuna kanuni za kufanikiwa kwamba ukizitumia lazima ufanikiwe?
Kwahiyo hiyo misimamo ukiifuata lazima ufanikiwe?Hapana kanuni direct za kufanya ili ufanikiwe,ila kuna misimamo unaeza ifanya ukafanikiwa....mfano kuamua kuishi maisha yako na kuzingatia mambo ya msingi tu
Kwahiyo hiyo misimamo ukiifuata lazima ufanikiwe?
Lini CCM itaondoka madarakani
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji30] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]Hatuwez kusema direct ila bado sana sana,mizizi ni mingi ya kuikata ili ccm itoke madarakani,kwasasa bado sana
Umemaliza darasa la saba ukiwa na miaka mingapi???
NimemaliZa nikiwa na miaka 10
Uko vizuri,unaonekana maisha yako unayaendesha kwa raha sana,sikutaka kuwa straight tu kwa kuwa muuliza swali sikuwa na imani na wewe nimeanza shule nina miaka saba mkuu,....haya lengo la kuuliza swali la miaka yangu mkuuMkuu uliaza shule ya msingi na miaka 4???
Halafu kuna sehem umesema una miaka 30 asa hivi
Pia kuna sehem umesema umemaliza darasa la saba mwaka 2000.
Na hapo juu umenijibu kuwa umemaliza darasa la saba ambayo ni mwaka 2000 ukiwa na miaka 10. Huoni kuwa unatakiwa uwe na miaka 28??