Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Mwanamke kutokuwa serious kivipi,na unadeal vipi na mtu wa namna hio?

Uelewa upo tofauti,mwingine atataka kushawishiwa na watu wanaomzunguka kuwa anachokifanya sio sahihi huwa inasaidia kuwabadirisha,lakini wengine wanaachwa mpaka mtu aondoke ndio wajue kuwa wamekosea,
How to deal with the person of this kind:
Kwanza muelewe kama anahistoria ya akili nzuri,kama yuko sawa huyo atabadirika tu hata iwaje,usichoke kumuonyesha umuhimu wako kwa kufanya yaliyo mema hata kama anakuumiza,kumbuka mvimilivu hula mbivu....jingine tazama na wewe unamambo gani unafanya yanamkera na utaache mara moja
 
9
A machine that cost £35,000 is operated 8 hours a day in a 5-day week but one hour each day is used for test purposes. For use of the machine there are three scales of charges, the first at the rate of £5 an hour for private use, the second at £15 an hour for research work and the third at £40 an hour for commercial work. It is estimated that the number of hours charged at the first, second and third rates are in ratios 4:2:1. What percentage of total receipts do receipts from commercial work represent?
Receipt 44.4%
Ushawai ingia na nondo kwenye mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye maisha kuna kanuni za kufanikiwa kwamba ukizitumia lazima ufanikiwe?
 
Hivi kwenye maisha kuna kanuni za kufanikiwa kwamba ukizitumia lazima ufanikiwe?

Hapana kanuni direct za kufanya ili ufanikiwe,ila kuna misimamo unaeza ifanya ukafanikiwa....mfano kuamua kuishi maisha yako na kuzingatia mambo ya msingi tu
 
Hatuwez kusema direct ila bado sana sana,mizizi ni mingi ya kuikata ili ccm itoke madarakani,kwasasa bado sana
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji30] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
NimemaliZa nikiwa na miaka 10

Mkuu uliaza shule ya msingi na miaka 4???

Halafu kuna sehem umesema una miaka 30 asa hivi

Pia kuna sehem umesema umemaliza darasa la saba mwaka 2000.

Na hapo juu umenijibu kuwa umemaliza darasa la saba ambayo ni mwaka 2000 ukiwa na miaka 10. Huoni kuwa unatakiwa uwe na miaka 28??
 
Uko vizuri,unaonekana maisha yako unayaendesha kwa raha sana,sikutaka kuwa straight tu kwa kuwa muuliza swali sikuwa na imani na wewe nimeanza shule nina miaka saba mkuu,....haya lengo la kuuliza swali la miaka yangu mkuu
 
Back
Top Bottom