Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
Boss cha kwanza hardware ni term pana sanaa..Inaitaji mtaji wa shngap ili duka liweze kujiendesha lenyewe?
Cha kwanza angalia mtaji wako, çha pili usipate stress sana kutaka kuwa na kila kitu, hardware ni pana unaweza uka specialize katika kundi flani mfano: handtools na aplliances ndogo kama vitasa, plumbing, finishing materials, rangi na mshine ya kuchanganyia, ..etcKabla ya kuanzisha hardware ni vitu gani vya mhimu unapaswa kuangalia ili mambo baadae yaweze kwenda sawa
Ahhaahah...kweli mimi mwenyewe nilikuwa naumia....Maduka kadhaa ya hardware upangaji wa stock hua ni holela sana(unaweza hata dondokewa na sururu[emoji1])..Hivi utaratibu wa kuhesabu stock ukoje,unafanywa mara ngapi?..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Maisha ni ujenzi boss, pale unapokaa geto ukitaka kuweka pazia utahitaji screws na fisherplugs na star ya kufungia, hadi mtaani majengo na vitu vinaharibika kila siku, vifaa vya ufundi vya kichina vina haribika mapema,Kwanin wafanya biashara wanakuwa hardware wengi wao huwa wanatajirika sana?
Rejea post #8Ukiwa na mtaji wa milioni 15 huwezi fungua? Mfano NONDO, CEMENT NA SQUARE PIPE, MISUMARI, PIPE ZA CHUMA NA ZA MAJI.
1: bidhaa inayotaka ni za foundations ni cement, nondo, paa, mbao,1.Katika mkusanyiko wa bidhaa za Hardware bidhaa gani ndio inaendesha biashara yote kwa mzunguko mkubwa?
2.Kumekuwa na dhana ya upatikanaji wa vitu vya wizi katika biasahra ya Hardware ambavyo huwa na bei nafuu je kuna ukweli wowote katika hili?
Soma comment no8Ukiwa na mtaji wa milioni 15 huwezi fungua? Mfano NONDO, CEMENT NA SQUARE PIPE, MISUMARI, PIPE ZA CHUMA NA ZA MAJI.
AhsanteRejea post #8
Kama hardware kubwa... unapaswa kufanya kama mara mbili, kwa wiki... wafanyakazi ni wezi sanaaaMaduka kadhaa ya hardware upangaji wa stock hua ni holela sana(unaweza hata dondokewa na sururu[emoji1])..Hivi utaratibu wa kuhesabu stock ukoje,unafanywa mara ngapi?..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Usijali mkuuDaah huu uzi umekuja muda mwafaka kabisa, usichoke kwa maswali ambayo utaulizwa na members mbalimbali humu.