Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Daaaah, upo serious mkuu?Haha ila hardware ukipata 300k kwa mwez labda una laana au umelogwa tanzania nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah, upo serious mkuu?Haha ila hardware ukipata 300k kwa mwez labda una laana au umelogwa tanzania nzima
Kwenye hii hoja ya kutowaambia wateja wakachukue bidhaa kwa fulani badala yake tuwaambie kuwa tunawafatia store, unamaanisha tunatakiwa kufungua ofisi zetu kwenye maeneo ambayo ni maarufu kwa uuzaji wa bidhaa za hardwarer na sio kujitenga pekeetu, si ndio??Huduma boss, mfano mtu anaweza akakuchangia bati 60 na gypsum 40...alafu unamuacha kapa..hapana..unampa hata na kole moja la kufanyia kazi.
Mafundi hakikisha unawapa commision kwa kila mteja wanaoleta
Usipende kuwambia watweja chukua kwa flani, mwambie nachukua store
Bidhaa nzuri sio feki..
Hapana boss, hata kama uko mbali, we pakia vile vilivyopatikana piga simu jama wanakuletea ..na hapo unampiga sound mtej na stori za siasa na hali ngumu ya kimaisha..Kwenye hii hoja ya kutowaambia wateja wakachukue bidhaa kwa fulani badala yake tuwaambie kuwa tunawafatia store, unamaanisha tunatakiwa kufungua ofisi zetu kwenye maeneo ambayo ni maarufu kwa uuzaji wa bidhaa za hardwarer na sio kujitenga pekeetu, si ndio??
Sawa mkuu...!!!Hapana boss, hata kama uko mbali, we pakia vile vilivyopatikana piga simu jama wanakuletea ..na hapo unampiga sound mtej na stori za siasa na hali ngumu ya kimaisha..
Kahama naona Tangu mama aingie biashara zinashamiri hatari aisee.Mimi pia napanga kufungua hardware Kahama mwaka huu, so nimekupa tu ushauri kulingana na uzoefu wangu kibishara maana haiwezekani ukatupia hela yote uliyonayo kwenye biashara ambayo haujaimaster vizuri.
Karibu.
Hardware inalipa boss...biashara ikakaa mwake unapata faida zaidi ya 100,000 hardware ya kawaidaSawa mkuu...!!!
Kahama msisahau kupeleka vifaa vya ufundi na welding kule..vinaenda sanaaaaaa..kutokana urekebishaji kuwa mkubwaKahama naona Tangu mama aingie biashara zinashamiri hatari aisee.
Mimi pia napanga kufungua hardware Kahama mwaka huu, so nimekupa tu ushauri kulingana na uzoefu wangu kibishara maana haiwezekani ukatupia hela yote uliyonayo kwenye biashara ambayo haujaimaster vizuri.
Karibu.
Ni kweli pameshamiri balaaKahama msisahau kupeleka vifaa vya ufundi na welding kule..vinaenda sanaaaaaa..kutokana urekebishaji kuwa mkubwa
Nilitaka kujua mkuu je biashara ya hardware inatakiwa kuwekwa sehemu zenye watu wengi au biashara nyingi nyingi au waweza weka hata pembeni yaan ukawa umejitenga na wengine na wateja wakakufuata?Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia..
Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio.
Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha ujuaji wangu..
Karibuni na wengine mtakao kuwa na majibu kwa wengine..
Karibuni..
Ukipata mtaa wenye maduka mengi ya hardware itakuwa vizuri kwasababu waeteja wengi wakiwaza kwenda kununua vifaa wanawaza kwenda kwenye mtaa wenye hardwares nyingi ili asiwe limited kwenye manunuzi, mteja anapofika kwenye maeneo hayo atataka kuulizia kitu fulani katika kila duka ili kulinganisha bei na ubora wa anachotaka, automatically itafikiwa tu na utauza.Nilitaka kujua mkuu je biashara ya hardware inatakiwa kuwekwa sehemu zenye watu wengi au biashara nyingi nyingi au waweza weka hata pembeni yaan ukawa umejitenga na wengine na wateja wakakufuata?
Maana kuna baadhi ya hardware utakuta zimejitenga pembezoni na zingine zipo centre zimejipanga
Inategemeana na aina gani ya hardware mkuu..Napenda kujua mtaji kiasi gani- kwa mtu anae hitaji kuwa anaagiza mzigo nje ya Nchi- hususani China.
Hardware inakaa sehemu yoyote mkuu, either city centre au nje pembezoni kivyakoNilitaka kujua mkuu je biashara ya hardware inatakiwa kuwekwa sehemu zenye watu wengi au biashara nyingi nyingi au waweza weka hata pembeni yaan ukawa umejitenga na wengine na wateja wakakufuata?
Maana kuna baadhi ya hardware utakuta zimejitenga pembezoni na zingine zipo centre zimejipanga
Kama ni hardware inayodeal na bidhaa kubwa kama cement, g.boards, pvc boards..ni rahisi kwa kuwa unakuwa na store na unamuachia bidhaa kazaa ..so ukiwa unakuja unajua kwamba kiasi flani kimesepa hiki kimebaki na kinaendana na mahesabu yangu..Vp kuhusu mbinu za kudhibiti wizi na upotevu wa bidhaa store, je ni biashara ambayo unaweza kumkabidhi mtu na kuisimamia ukiwa mbali kwa urahisi? Au lazima uwepo mwenyewe dukani?
Kuna mangi mmoja hapa mtaani, jirani kwake walikuwa wanajenga.1: bidhaa inayotaka ni za foundations ni cement, nondo, paa, mbao,
Pia vifaa vya ufundi kama pliers, pasi, miiko inatoka sana kutokana wachina kutusaidia hahahah
2: ni kweli kabisa mafundi huwa wanatuletea kila siku ila sina hulka ya kununua... mnaojennga mnapigwa sana kuweni makini
Hahahahah wakabaki kapu kama walivyokuwa kabla ya kuiba.Kuna mangi mmoja hapa mtaani, jirani kwake walikuwa wanajenga.
So, wale mafundi wakawa wanaiba mifuko ya cement wanatupia kwenye shimo lililoko kwenye Kiwanja cha huyo jirani yangu.
Huyo jirani yangu akawagundua[emoji3]
Kudadadeki, hao mafundi wezi walivyokuwa wakitupa shimoni, jamaa naye ANAHAMISHA.
Baada ya kukamilisha kazi JIONI , wale mafundi wakaenda kuchungulia shimoni wakakuta EMPTY.
Haya kitu cha WIZI huwezi KUMUULIZA mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]