Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Cement, Bati, Nondo, Wire meshes, Gypsum boards, Ceilling boards, Tiles, Misumari, square pipes, flat bars na vifaa vya ememe ni bidhaa ambazo nawaza kuziweka kwenye hardware yangu nitakayoifungua Kahama mjini.Usijali mkuu
Ningependa kujua upatikanaji wa bidhaa za nilizotaja hapo juu, changamoto za upatikanaji wake, na faida zake kwa ujumla.
Bidhaa kama cement ni bidhaa ambazo zinahitaji utunzaji na umakini wa hali ya juu, mnatumia mbinu gani kufanikisha hilo? Maana mimi nilikaa na stock yangu ya Cement 49 ambazo zilibaki baada ya ujenzi wangu lakini nimekuta zimetengeza vibonge vidogovidogo ambavyo vinalainika ukivibinya ( nadhani ilikuwa inaelekea kuwa jiwe).
Assume ndo nataka nianze kuagiza bidhaa hizo process zake zikoje???