Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Vipi vifaa vya plumbing hasa hasa vifaa vya irrigation?LETENI MASWALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi vifaa vya plumbing hasa hasa vifaa vya irrigation?LETENI MASWALI
Nondo mm 16 na 20 kwa sasa zinaendaje bei yakeLETENI MASWALI
Hapa ni swafii mkuu maana, uzuri wa hii myu akija kununua mara nyingi anachukua bidhaa kwa wingi akienda kufanya wiring ya bombaVipi vifaa vya plumbing hasa hasa vifaa vya irrigation?
Inaweza kabisa hakikisha unaanza na handtools kwanza utatoboa.20m inatosha kuanza min hardware?
Kama ni hardware inayodeal na bidhaa kubwa kama cement, g.boards, pvc boards..ni rahisi kwa kuwa unakuwa na store na unamuachia bidhaa kazaa ..so ukiwa unakuja unajua kwamba kiasi flani kimesepa hiki kimebaki na kinaendana na mahesabu yangu..
Kama ni duku la tools, equipments na appliances ndogo ndogo sikushauri uache mtu kwa kuwa ni rahisi kuibwa..mtu anaweza pitia biti, au bisi bisi ..ni ngumu kujua..
Pia mfumo wa camera ni mzuri
Na kupitia bidhaa kuhesabu mara kwa mara
Ipoje unaweza share ?Unapofanya biashara usisahau kutumia program ya SmartBusiness kusimamia taraarifa za biashara yako
Nami nasubiri hapo kwenye quick booksForrest Gump
hongera sana kwa madini uliyoweka humu. Nataka kujua kama kuna mifumo ya kisasa ya kumanage stock ambayo umejaribu kuitumia. Ukiacha camera ambazo kwa kiasi chake zinasaidia, vipi kuhusu mfano accounting package (quick book etc) kwa hivi vitu vidogo vidogo na njia nyinginezo. Kuhesabu fittings za mabomba, sijui kilo za misumari tabu sana... Na kwa mimi naona changamoto kubwa sana katika hardware ni ukishindwa kumanage stock yako.
I dont use quick books boss.Forrest Gump
hongera sana kwa madini uliyoweka humu. Nataka kujua kama kuna mifumo ya kisasa ya kumanage stock ambayo umejaribu kuitumia. Ukiacha camera ambazo kwa kiasi chake zinasaidia, vipi kuhusu mfano accounting package (quick book etc) kwa hivi vitu vidogo vidogo na njia nyinginezo. Kuhesabu fittings za mabomba, sijui kilo za misumari tabu sana... Na kwa mimi naona changamoto kubwa sana katika hardware ni ukishindwa kumanage stock yako.
Unatumia mfumo Gani ku control stock Yako sasaI dont use quick books boss.
SAfiKwanza kabisa sijapinga wazo la jamaa la kufungua hardware, ndiyo maana comment yangu ya kwanza kabisa nilisema kwenye hardware watu wanapiga hela balaa.
Kisha nikauliza swali kwanini wabongo wengi wanapenda kufungua maduka?
kuna mtu akani-qoute akiuliza wafungue nini?
Ngoja sasa nikwambie jaribu kwenda veta yoyote utakutana na viwanda vidogo vidogo au hata mitaani tuu.
Mfano kuna chalii/kijana anafanya biashara ya kuuza unga ame-pack kwa jina lake anasambaza na kirikuu mtaji amenunua mashine zake sido, na kirikuu amenunua baada ya biashara kukua na anasoko kubwa sana. ( yupo maeneo ya bunju, hichi ni kiwanda kidogo nachozungumzia).
Maswala ya complince na serekali na kulipa wafanyakazi sio jambo la kukufanya usifungue kampuni, kampuni mnafanya watu watatu au wanne mshahara wa laki mbili hadi 250k unalipika vizuri ikiwa uko serious na biashara yako.
Kuna washkaji wako kibaha kama sio mlandizi wanatengeneza zile sahani za take away na mashine zao ni semi automatic hazijagharamu zaidi ya 10M na kazi wanaifanyia ndani ndani tuu na wanasoko kubwa.
So ishu ni exposure na kuwa na taarifa sahihi.
Na nisionekane kama napinga maduka kama yasingekuwa na faida tusingeyaona mitaani.
Ni swali niliuliza kuhusu watu kupenda kufungua maduka.
Excel ukijua kutumia inatosha,nenda kwenye emaili yako ya gmail, chagua excel, utaweza kucontrol hata online ,branch zaidi ya mojaUnatumia mfumo Gani ku control stock Yako sasa
Dr hebu funguka zaidi. Sawa Excel kuwa nayo Google drive au offline.... hii inaweza kweli kusaidia ku manage stock ya vitu vidogo vidogo either kwa kupost weekly au daily? Kama ndio hebu fafanua please.Excel ukijua kutumia inatosha,nenda kwenye emaili yako ya gmail, chagua excel, utaweza kucontrol hata online ,branch zaidi ya moja