Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

1. price ya bei maana bidhaa za hardware hazina bei elekezi kutoka kwa bord kama yalivyo mafuta(EURA), ?
2. Unaweza vipi kutambua bidhaa feki wakati wakununua mzigo? maana kwa uzoefu wako yawezekana hauja kutana na hilo sana.
3. Mauzo kwa mwezi unaweza pata faida kiasi gani ukitoa pango na kulipa vijana?
 
Na plan kufanya biashara hii mkoani huko kanda ya ziwa na katika kupata mawili matatu naona bidhaa nyingi kule wanatoa kenya?

Hivyo naomba kuuliza bidhaa za ujenzi kutoka kenya kwanini ni nafuu sana kulinganisha na za hapa nchini kwetu?
 
1: Bidha kama cement, nondo ndio huwa mara nyingi zinaamuliwa soko.

2: kama we ni first timer nenda na fundi anaevijua hivyo vitu..mpatie na ya maji kidogo

3: intagemeana profit kwa hardware ndogo 80k to 100k, ya kti 100k na zaidi , kubwa 150k na zaidi ..kubwa zaidi 200k na zaidi per day..inategemeana na location ulipo..na mauzo
 
Yaani unaamanisha net profit kwa siku kwa hardware ndogo ni 80k hadi 100k. Kwa makadirio hiyo hardware ndogo inapaswa uwe na mtaji kiasi gani?
 
Na plan kufanya biashara hii mkoani huko kanda ya ziwa na katika kupata mawili matatu naona bidhaa nyingi kule wanatoa kenya?

Hivyo naomba kuuliza bidhaa za ujenzi kutoka kenya kwanini ni nafuu sana kulinganisha na za hapa nchini kwetu?
Kule ushindani ni mkubwa wa merchandisers... coz kule kuna viwanda vingi za kutengeneza materials na tools..so price ni za ushindani.

Kama cement ya kenya ni bei chee kulinganisha na tz,
 
Kama ni yenye tools, appliances za kufuri.
Na visinki vya choo, waya za dirishani..andaa 25m to 30m

Asante sana boss.
Why Kenya bidhaa hizi zinakuwa na unafuu sana ukichukulia tofouti na huku kwetu tanzania?
 
Na plan kufanya biashara hii mkoani huko kanda ya ziwa na katika kupata mawili matatu naona bidhaa nyingi kule wanatoa kenya?

Hivyo naomba kuuliza bidhaa za ujenzi kutoka kenya kwanini ni nafuu sana kulinganisha na za hapa nchini kwetu?
Kanda ya ziwa inajengeka sana...watu ni nyomi...wauza hardware mwz wametajirika kwa kuuza jumla kwa small retailers mikoa inayoizunguka..

Kuna katoro, tarime, kahama, geita, na miji ya pembeni ya mwanza ..hio miji inakuja kwa kasi kafanye research kidogo..
 
Asante sana boss
 
Kahama , Geita na Katoro huwezi kufeli ukitengeneza hardware ya maana.

Hakikisha unakiwa na material yanayohitajika kwenye welding, na zile bidhaa kama Tiles, g.boards, PVC , Cement , bati , misimari nk.

Hii ni kwa mujibu wa research yangu kwenye mji wa Kahama na katoro.
 
Dodoma vp kuna mdogo wangu anataka kufungua hardware Dodoma na je biashara ya bolt na but ikoje mikoani kwa udhoefu wako? Maana alitaka specilize kwenye bolt na nut Tu maana kuna Duka anauza kariakoo linadeal na bolt na nut za aina zote Tu.
 
Kama ni hardware kubwa hebu jaribu kuagiza nondo tu za mm 12 na 16 kwa bei ya sasa uone utabakiwa na shingapi, hapo ukakuwa hujawazia bei ya pango ambayo ni vizuri ukailipa kwa mwaka au miezi sita ili kuipa nafasi biashara ishike kasi (breaking even)

Hii business sio ya kitoto mkuu.
Ngoja niendelee kuuza chipsi
 
Dodoma vp kuna mdogo wangu anataka kufungua hardware Dodoma na je biashara ya bolt na but ikoje mikoani kwa udhoefu wako? Maana alitaka specilize kwenye bolt na nut Tu maana kuna Duka anauza kariakoo linadeal na bolt na nut za aina zote Tu.
Mwambie kama ata deal bolts and nuts..aweke na spanners..hivyo hawez chom mahindi..awe karibu na gereji ..
 
Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia..

Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio.

Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha ujuaji wangu..

Karibuni na wengine mtakao kuwa na majibu kwa wengine..

Karibuni..
Nimevutiwa sana na hii post kwa ambao tunania ya dhati kabisa, unaweza kutusaidia majina ya maduka wanayouza kwa ujumla vitu hivi? Hasa hasa dar? Na kwa wale wenye mtaji wa chini ya million 30 waweke sana sana bidhaa ipi na ipi? Ila la wauzaji wa jumla ukisaidia itapendeza zaidi
 
Jumla nenda pale kariakoo mtaa wa gerezani

Enteprises nyingine ni kama kamaka, nabaki africa..etc hawa ingia kwnye site yao wanaweza kukupa price list
 
Hii biashara wachaga wameiwezea sana hadi mikoani wafanya biashara wakubwa wa hardware ni wachaga. Kuna siku nikaamua kumuuliza tycoon mmoja wa kichaga wa hardware kwanini ni wachaga au wanaconnection kwenye maviwanda wanapeana wao kwa wao. Akacheka sana akasema hakuna kitu kama hicho ni kila mtu anapambana kivyake but akasema wachaga ujanja wao ni kukimbilia biashara ambayo inaweza kukupa utajiri mbeleni sio tu kuishia kupata pesa ya kubadili mboga.
 
Back
Top Bottom