Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

Unapofanya biashara usisahau kutumia program ya SmartBusiness kusimamia taraarifa za biashara yako
 
Vipi vifaa vya plumbing hasa hasa vifaa vya irrigation?
Hapa ni swafii mkuu maana, uzuri wa hii myu akija kununua mara nyingi anachukua bidhaa kwa wingi akienda kufanya wiring ya bomba

Kwa hio bei hakikisha inakuwa chini kama ya jumla mkuu wangu

Ukiwa na na 25mln unfanya hadi ni sanitary ware
 

Forrest Gump
hongera sana kwa madini uliyoweka humu. Nataka kujua kama kuna mifumo ya kisasa ya kumanage stock ambayo umejaribu kuitumia. Ukiacha camera ambazo kwa kiasi chake zinasaidia, vipi kuhusu mfano accounting package (quick book etc) kwa hivi vitu vidogo vidogo na njia nyinginezo. Kuhesabu fittings za mabomba, sijui kilo za misumari tabu sana... Na kwa mimi naona changamoto kubwa sana katika hardware ni ukishindwa kumanage stock yako.
 
Nami nasubiri hapo kwenye quick books
 
I dont use quick books boss.
 
SAfi
 
Unatumia mfumo Gani ku control stock Yako sasa
Excel ukijua kutumia inatosha,nenda kwenye emaili yako ya gmail, chagua excel, utaweza kucontrol hata online ,branch zaidi ya moja
 
Excel ukijua kutumia inatosha,nenda kwenye emaili yako ya gmail, chagua excel, utaweza kucontrol hata online ,branch zaidi ya moja
Dr hebu funguka zaidi. Sawa Excel kuwa nayo Google drive au offline.... hii inaweza kweli kusaidia ku manage stock ya vitu vidogo vidogo either kwa kupost weekly au daily? Kama ndio hebu fafanua please.

Yaani ikuwezeshe mfano:
  • kujua stock iliyopungua sana na inahitaji kuongezwa,
  • taarifa ya mauzo angalao hata kwa mwezi
-kubaini vinavyotoka sana
- na taarifa nyingine muhimu za kukuwezesha kusimamia na kukuza biashara

Note: Mimi nafanya vitu vingi manually, na duka lako bado sio kubwa sn. Na imagine nimekua nina eneo eg la umeme, plumbingi, bidhaa mchanganyiko, mbao n.k.

Tupeni uzoefu wapendwa..maana stock management ikikushinda ni sehemu ya kufia hapo. Na wadau wengine Forrest Gump st
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…