Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,071
- Thread starter
- #81
Ngazi ya Certificate sijafanikiwa kuona.vip kwa certificate pia wanatoa scholarship
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngazi ya Certificate sijafanikiwa kuona.vip kwa certificate pia wanatoa scholarship
Wakuu, imekuwa ni adimu sana kuona Wabongo tukishikana mikono ili kuvuka hatua moja kwenda nyingine yenye mafanikio. Tumezoea kupambana wenyewe na wengi wetu huwa hatupo wazi inapokuja suala la kumueleza mtu mwingine juu ya fursa fulani, tunapenda kuwa wabinafsi na wachoyo.
Kauli hii nimeithibitisha baada ya kutembelea nchi za wenzetu walioendelea (Ulaya) na kuona namna ambavyo Waafrika kutoka magharibi wanavyochangamkia fursa za hapa na pale na namna wanavyoshikana mikono ili kuvuka mahala.
Ni kwa mantiki hiyo basi, ili kuvunja kasumba ya ubinafsi wetu Wabongo, nipo hapa kujibu maswali juu ya fursa ya kimasomo unayoweza kuipata Sweden kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters Scholarship).
Sio masuala ya kuja inbox, wewe uliza hapa hapa public nitakujibu. Sihitaji mtu kuja kunifuata inbox.
Karibuni.
https://si.se/app/uploads/2019/11/e...rships-for-global-professionals-2020-2021.pdfShukrani mkuu,,,mimi nimepiga BSc.Ed (Mathematics) hivi naweza pata scholarship ya MSc Biostatistics huko maana kozi za statistics nimezipiga kama mbili hivi boss
unaweza uka google scholarships za kozi unayotaka na nchi unayotaka,,,mwanzoni andika tu full funded undergraduate coursesMkuu nina elimu ya diploma ila napenda kuendelea na degree huko kama hutojali naomba abc nijue utaratibu ukojee wa Scholarship za degree,Nashukuru sana
Mdogo wangu amesoma degree ya community development in social management, je kwa kozi hiyo scholarship zake zipo?Nina uzoefu kuhusu Scholarship za Masters. Sina uzoefu mkubwa wa PhD Scholarship, hata hivyo, naweza kuelezea kidogo nachofahamu. PhD kwa Sweden ukipata fursa ya Scholarship unakuwa regarded kama mwajiriwa.
Yaani unapewa ajira ya muda mfupi kwa kufanya researches na wakati mwingine unaweza kuhusika kufundisha hapa na pale. Unlipwa kabisa mashara kama mwajiriwa mwingine kulingana na matakwa.
Zipo na unaweza kupata. Nimeona baadhi ya wanafunzi wa PhD wakiendelea na masomo yao katika chuo kimojawapo. Kwa maelezo zaidi, tembelea link hii>>>> PhD programmes in Sweden
Ndiyo anaweza kupata. Bila shaka unamanisha Scholarship kwa ajili ya Master program!Mdogo wangu amesoma degree ya community development in social management, je kwa kozi hiyo scholarship zake zipo?
Ndiyo, namaanisha scholarship lakini pia ni kozi ipi ambayo akiisoma huko masters yake hata akirudi hapa au sehemu yoyote anaweza kuajirika au kujiajiri mwenyewe kirahisi na inalipa zaidi.Ndiyo anaweza kupata. Bila shaka unamanisha Scholarship kwa ajili ya Master program!