Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
We mtoto unataka kumuua zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Fasihi ni chungwa na mwandishi ni kisu,menya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fasihi ni chungwa na mwandishi ni kisu,menya.
😂😂😂 msaidie
😂😂
Dogo umepotea sanaSwali langu kwako, Akili ni nini?
Mungu anajua yote na anajua mwanzo na mwisho wangu wote.
Je anafahamu mm mwisho wangu nitakua maskini wa kupupa?
Je anafahamu kua mimi siku nikifa nitafikia motoni?
Kama jibu ni Yes. Je naweza kubadiri hayo matokeo ili nim-prove Mungu wrong kua alikua anajua sio kuhusu mm.
Kama jibu ni No. Je Mungu hajui lolote kuhusu mm?
Moja ya sifa kuu 3 zinazomfanya Mungu aitwe Mungu ni KUJUA YOTE.Jibu ni No.
Mungu kakuumba wewe huwe ni Divice inayojiongoza,
Kakuwekea Software yenye kila kitu kwenye Disc(External) inayojitegemea iliyosheheni kila Aina ya data,
mwisho kabisa kakuwekea na limit ya kuchagua ufanye chochote unachokihitaji kwa Faida zako na zake,
Shetani yeye ni kama Virus aliyekuja kuiharibu Disc(External) yako ili ifanye kazi tofauti na matakwa ya muumbaji "Mungu",
Lakini pia "Mungu" katika uumbaji wa hiyo Disc(External)Ali install na Ant vírus ya kukuwezesha wewe kumkataa Shetani(Virus),
Lakini mwisho unaposhindwa kuitumia vyema Ant Virus aliyokuwekea utaishia kutenda Dhambi(Kwa maana virus shetani ataaribu mpangilio wako),
Na Siku Ukifa Mungu Aliyekuumba Ataishia kuiformat(Kuiangamiza Disc "External" ) Motoni kwa kuwa tayari imeshakuwa infected na Virus wasije wakaamia kwenye Disc zingine (wale watenda Mema).
Hivyo basi Mungu Hajui Chochote kuhusu wewe alikuumba mkamilifu, na Mwisho kakupa chaguo,
Kakupa uhai uutunze na ndio maana ukijinyonga unakufa, ukinywa Sumu unakufa kwa sababu uhai wako uuuh Mikononi mwako,
Kutenda Dhambi na kutotenda ni Jukumu lako,
Yeye kaweka sheria tu na kuzisimamia ukizivunja siku ya Mwisho ni hukumu.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa,kwa uwezo huu wa kajibu bado,naona IQ inazidi kwenda negative, maana ilikua Zero sasa inaelekea -ve[emoji3][emoji3]
Dhumuni la Mungu kukuumba ni kukufanya Divice inayojiongoza kwa kila kitu, ata kama angekuwa anajua kesho yako yeye hana chaguo tena na wewe kwa sababu tayari ameshakuumba na kukuacha huru ujiongoze,Moja ya sifa kuu 3 zinazomfanya Mungu aitwe Mungu ni KUJUA YOTE.
Je kwa mujibu wa paragraph ya mwisho huoni unamvua Mungu vyeo vyote.
Kwahiyo Mungu hajui yote?
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaa,kwa uwezo huu wa kajibu bado,naona IQ inazidi kwenda negative, maana ilikua Zero sasa inaelekea -ve[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko poa mkuu, chumba sijui ngoja nimwite aje apimeMtoto wa diwani hajambo? Naomba kufahamu chumba unacholala kina eneo la meter ngapi?
Mimi paluchi ndio Starehe yangu mkuuVp kuhusu papuchi,umelaaniwa nazo au ziliwahi kukuzingua now ndo unafanya revenge!?[emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Vyote ni hatari lakini havitufanyi tusivitumie tutumie lakini kwa kiasi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ufanye test na majibu unayo ?? Kweli bado ni zero IQ. Bado haijapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusingekuwa na kusudi nafikiri nisinfekuwa hapo leo,Wewe ni nani?
Unafikiri kuna kusudi la msingi ww kuletwa duniani?
Je, unadhani unatimiza ipasavyo hilo kusudi?