Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Niulize swali ili nijipime kiakili (IQ Test)

Mungu anajua yote na anajua mwanzo na mwisho wangu wote.
Je anafahamu mm mwisho wangu nitakua maskini wa kupupa?
Je anafahamu kua mimi siku nikifa nitafikia motoni?
Kama jibu ni Yes. Je naweza kubadiri hayo matokeo ili nim-prove Mungu wrong kua alikua anajua sio kuhusu mm.

Kama jibu ni No. Je Mungu hajui lolote kuhusu mm?

Jibu ni No.

Mungu kakuumba wewe huwe ni Divice inayojiongoza,
Kakuwekea Software yenye kila kitu tuweke mfano ni kama Disc(External) inayojitegemea iliyosheheni kila Aina ya data,
mwisho kabisa kakuwekea na limit ya kuchagua ufanye chochote unachokihitaji kwa Faida zako.

Shetani yeye ni kama Virus aliyekuja kuiharibu Disc(External) yako ili ifanye kazi tofauti na matakwa ya muumbaji "Mungu",
Lakini pia "Mungu" katika uumbaji wa hiyo Disc(External)Ali install na Ant vírus ya kukuwezesha wewe kumkataa Shetani(Virus),
Lakini mwisho unaposhindwa kuitumia vyema Ant Virus aliyokuwekea utaishia kutenda Dhambi(Kwa maana virus shetani ataaribu mpangilio wako),

Na Siku Ukifa Mungu Aliyekuumba Ataishia kuiformat(Kuiangamiza Disc "External" ) Motoni kwa kuwa tayari imeshakuwa infected na Virus wasije wakaamia kwenye Disc zingine (wale watenda Mema).

Hivyo basi Mungu Hajui Chochote kuhusu wewe alikuumba mkamilifu, na Mwisho kakupa chaguo,
Kakupa uhai uutunze na ndio maana ukijinyonga unakufa, ukinywa Sumu unakufa kwa sababu uhai wako uuuh Mikononi mwako,
Kutenda Dhambi na kutotenda ni Jukumu lako,
Yeye kaweka sheria tu na kuzisimamia ukizivunja siku ya Mwisho ni hukumu.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni No.

Mungu kakuumba wewe huwe ni Divice inayojiongoza,
Kakuwekea Software yenye kila kitu kwenye Disc(External) inayojitegemea iliyosheheni kila Aina ya data,
mwisho kabisa kakuwekea na limit ya kuchagua ufanye chochote unachokihitaji kwa Faida zako na zake,

Shetani yeye ni kama Virus aliyekuja kuiharibu Disc(External) yako ili ifanye kazi tofauti na matakwa ya muumbaji "Mungu",
Lakini pia "Mungu" katika uumbaji wa hiyo Disc(External)Ali install na Ant vírus ya kukuwezesha wewe kumkataa Shetani(Virus),
Lakini mwisho unaposhindwa kuitumia vyema Ant Virus aliyokuwekea utaishia kutenda Dhambi(Kwa maana virus shetani ataaribu mpangilio wako),

Na Siku Ukifa Mungu Aliyekuumba Ataishia kuiformat(Kuiangamiza Disc "External" ) Motoni kwa kuwa tayari imeshakuwa infected na Virus wasije wakaamia kwenye Disc zingine (wale watenda Mema).

Hivyo basi Mungu Hajui Chochote kuhusu wewe alikuumba mkamilifu, na Mwisho kakupa chaguo,
Kakupa uhai uutunze na ndio maana ukijinyonga unakufa, ukinywa Sumu unakufa kwa sababu uhai wako uuuh Mikononi mwako,
Kutenda Dhambi na kutotenda ni Jukumu lako,
Yeye kaweka sheria tu na kuzisimamia ukizivunja siku ya Mwisho ni hukumu.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya sifa kuu 3 zinazomfanya Mungu aitwe Mungu ni KUJUA YOTE.
Je kwa mujibu wa paragraph ya mwisho huoni unamvua Mungu vyeo vyote.
Kwahiyo Mungu hajui yote?
 
Moja ya sifa kuu 3 zinazomfanya Mungu aitwe Mungu ni KUJUA YOTE.
Je kwa mujibu wa paragraph ya mwisho huoni unamvua Mungu vyeo vyote.
Kwahiyo Mungu hajui yote?
Dhumuni la Mungu kukuumba ni kukufanya Divice inayojiongoza kwa kila kitu, ata kama angekuwa anajua kesho yako yeye hana chaguo tena na wewe kwa sababu tayari ameshakuumba na kukuacha huru ujiongoze,

Tambua Mungu sio Diktekta na ndio maana mara baada ya kumaliza kukuumba hakutaka kuingilia tena Data zako,
Yeye anabaki kuwa mtazamaji tu wa matendo yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) Je Zile stories zako za kuchakata papuchi sana ni za kweli ama ni kuchangamsha genge tu?

2) Ni kweli unamiliki biashara ya chips?, ni kwa mda gani sasa?, je hiyo biashara ndyo unayoitegemea kukuendesha kimaisha mfano kupay bills,mavazi etc,au una other sources of incomes?, ushauri wowote kwa vijana tunaotaka kuanzisha biashara kama hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom