Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Kuna tofauti yoyote kubwa ya kijamii kati ya unguja na pemba?
Ni wale wale mkuu maana wapemba na waunguja ukiangalia kwa undani ni mchanganyiko.. Baba kazaa nani ( nikisema hivi nafikiri unanielewa ) sema kuna baadhi ya wanaoishi Unguja hujifanya wao hawaijui Pemba lakini ukijaribu kuuliza ambae yeye ni muunguja tu hajahusu Pemba iwe babu, bibi au mjomba basi utapata wawili kwenye mia.. Na hao wawili wanatokea bongo. Sema kinachoiharibu Unguja ni kwamba wageni wamekuwa wengi mno ambao maadili yao sio mazuri.

Mpemba halisi
 
Ni kweli kuwa mnachukiana sana kwa kigezo cha siasa na ukanda ule wa kusema Mimi Pemba wewe unguja?
 
Mh. Katibu natambua uwepo wako.

Imetolewa na kaimu mwenyekiti Comments Readers Association
( C.R.A- JF Branch, DSM Wing).

J.Comey
[emoji121]
Nakukumbusha kuwa fomu za kugombea uenyekiti zimesitishwa kutolewa,

Hivyo utaendelea kukaimu mpaka pale itapotolewa taarifa rasmi ya uchaguzi.

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Ni kweli kuwa mnachukiana sana kwa kigezo cha siasa na ukanda ule wa kusema Mimi Pemba wewe unguja?
Hapo ndo panapo mtihani haswaa maana ukiwa Mpemba unaonekana wewe cuf wa Unguja ccm sasa vurugu linaanzia hapo.

**Mpemba halisi**
 
Mmmmh!!! Ushirikina nje nje[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna makahaba huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama mtetezi wa wapemba!je wewe n mpemba?jibu kama sio "kwa nn wewe si mpemba na jibu kama ndio "kwa nn wewe n mpemba?tuanzie hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba za mganga please!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…