Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Wapemba hujuana kwa vilemba,

Mnmaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipo mpemba hata kama ni Marekani watatafutana na uaminifu wao ndo unaofanya watafutane.
Wanasema hivo kwa kuwa sadaka wanaanza kwao ndo kwa jirani. Hawezi kukusaidia wewe mbongo kama kuna mpemba karibu mwenye shida kama yako maana karibia Pemba nzima wote ni ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
* Mkuu ni uongo uliotukuka hakuna kuchagua watu wakuwapa waume.. Kule mara nyingi wanaangalia tabia yako hata uwe mbongo. Kitu kitakachokufanya upate mke kwa urahisi zaidi Pemba uwe na mwenyeji akumalizie yeye na sio wewe. Wanajua wabongo wengi ni walevi, wauwaji na mambo mengi mabaya. Ukiwa na mwenyeji ndo anakumalizia yeye kwa kukusifia wewe sio wewe mwenyewe hawakuamini.

* Kubaguana wenyewe kwa wenyewe inategemea na koo, chanzo chao mpaka kufikia kwenye migogoro.

* Asiempemba namchukulia kama binadam wa kawaida sana kama walivo wapemba maana nimeishi nao vizuri hadi leo waliowengi ni marafiki zangu na nawakubali sana.

* Ndio niliwahi kuishi bara.. Na nilichukua mda mfupi sana kuwazowea ingawa nilikuwa napewa sumu kwamba wabongo sio watu... Niliwazowea sana maana nilijionea mwenyewe tofauti na nilivoambiwa.

* Hiyo ishu kushamiri kwakweli siwezijua maana hata mimi nakua najiuliza ni kwanini maana hata bongo wapo. Lakini imekua inajulikana Zanzibar kwa ujumla wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia wapemba wanalinda malighafi ya mbele kuliko ya nyuma.
yupo tayar ule malighafi ya nyuma, ili ya mbele ibaki salama kwa ndoa.
 
Ikitokea binti nikamtia mimba siwezi oa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…