Jibu mubashara kabisa 😂😂😂😂
Sio kweli, na ukitaka kupata watu wasaf ni Wapemba na Zanzibar kwa ujumla maana hakuna mwanamke anaekojoa amesimama wala hakuna ambae anaenda kukojoa asitumie maji lakini bongo nimeyaona haya. Ilifikia kipindi nikapata magonjwa ya ajabu kwa kuwaingilia watu huo bila kondom nilijuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
So hakuna mpemba atakayeona pepo kama nyote washirikina!!Zamani zao lililoshamiri sana ilikua...
Uwele, mpunga, mbaazi, kunde na mtama kwa wingi sasa hivi ni hafifu sana.. Wanalima mihogo lakini sio zao kuu..
Kwa ufupi Pemba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe (husda).. Ukianza kuneemeka kidogo inakubidi uwe mshirikina tofauti na hapo utaishia kufa huku unajiona.
Mi binafsi naenda likizo nakaa siku tatu mpaka nne nageuza maana hawachelewi kunilaza kitandani kweupeee.
Mpemba ambae hajafanya shiriki ni yule anaeishi nje ya Pemba. Mi binafsi nina mganga wangu maalum maana misuko suko ninayoipata naijua mwenyewe.. Na kila nikienda likizo lazima nikamsalimie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata pemba kuna vijijiHapana mkuu ni itikadi tu.. Mimi kule nilishangaa kuona wamehamia wabongo ndani ya wiki moja wameowa na mpaka leo sijui kama kwao wanakujua tena. Wamepapenda sana kutokana na amani na hususan na ushirikiano wanaoupata hawajawahi kupata sehemu nyingine. Mmoja yeye namkumbuka aliposlim alipewa hata nyumba na wakwe amalizie na bado leo wanaishi na watoto juu. Na pia kuna kipindi nilikwenda likizo nikaona wameongezeka na maskani juu wamefungua. Tembelea kijiji kimoja kinaitwa Micheweni utawakuta ndugu zako wanavoishi.
Kwa upande wa maendeleo ni kama maeneo mengine kuna matajiri na masikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo basi wanaoana ndugu kwa nduguAlipo mpemba hata kama ni Marekani watatafutana na uaminifu wao ndo unaofanya watafutane.
Wanasema hivo kwa kuwa sadaka wanaanza kwao ndo kwa jirani. Hawezi kukusaidia wewe mbongo kama kuna mpemba karibu mwenye shida kama yako maana karibia Pemba nzima wote ni ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujib unitagSwali la pili, mleta uzi umekiri kuwa wapemba ni washirikina je ushirikina wao unauhusiano wowote na imani ya dini kwa maana ya kutumia kitabu au wakutumia mitishamba,Kama inavyofahamika asilimia kubwa ni waislam na wacha Mungu hauoni kwa kujihusisha na ushirikina inapingana na sifa za uchaMungu.
Jitihada zilizofanyika ilipangwa miti/mikoko kwa wingi ili kupunguza mmong'onyoko wa ardhi.Swali langu nilisikia ardhi ya pemba inamegwa na bahari na kutishia kisiwa cha Pemba. Je kunajitihada gani zimewekwa na kuanza kutekelezwa Kikinusuru kisiwa hicho...?
Nasikia kutoka kwako hilo na wala sijawahi kufikiria kutaka kufanya hivo.Na wewe vipi mdomo wako??, je ukiambiwa huwa unakula "eye" utakataa??[emoji31][emoji31]
Uchawi upo na utaendelea kuwepo tangia enzi za Nabii Mussa ulikuwepo... Sasa kwa upande wa kutumia vitabu kwa kumshirikisha Allah hapana. Kutumia vitabu vya Allah ili kupata dawa ndo njia sahihi kabisa... Lakini watu wengi tulipofeli ni pale kuendekeza mashetani/Majini. Na ushirikina unakuja pale ambapo shetani atataka afanyiwe kitu fulani na msipomfanyia atakavyo akadai familia yenu itapata tabu kwa maana yeye anajifanya amekuwa Mungu akifanyiwa atakalo hakuna shida atailinda familia wakati mlinzi ni mmoja tu. Na pia hakuna uhusiano wa dini na ushirikina.. Dini inakemea hilo. Na miti shamba ni kweli inahusishwa na ushirikina baadhi ya watu.Swali la pili, mleta uzi umekiri kuwa wapemba ni washirikina je ushirikina wao unauhusiano wowote na imani ya dini kwa maana ya kutumia kitabu au wakutumia mitishamba,Kama inavyofahamika asilimia kubwa ni waislam na wacha Mungu hauoni kwa kujihusisha na ushirikina inapingana na sifa za uchaMungu.
Sikweli wake hatutoi kwa njia kama hizo.Nasikia Pemba ukienda mfanyakazi au mfanyabiashara uko vizuri kimaisha unaulizwa anakupikia nani? Ukisema unapika mwenyewe unaambiwa kuna mwenzako atakuja kukusaidia, na unakuwa ndo ushapewa mke, ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwambia asilimia kubwa ni washirikina kutokana na vitimbi wanavofanyiana lakini si wote kwamba ni washirikina.So hakuna mpemba atakayeona pepo kama nyote washirikina!!
Halafu mna wasema wabara kuwa wahuni.