Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Swali zuri saaaana mkuu..
Napenda kuanza hivi.

1.dunia sio duara as most of people thinks. Dunia ni tufe lenye umbo undefined.. On the basis of GIS&RS(GEOGRAPHIC INFO. SYSTEM NA REMOTE SENSING)
WATAALAM WALIKAA WAKAAMUA KUTAFUTA NJIA AMBAYO ITASAIDIA KTK KUISOMA DUNIA HAPA NA MAANISHA VIPIMO KAMA VYA LATITUDE NA LONGTUDES. WAKAAMUA KUIPROJECT DUNIA KATIKA SHAPE YA SPHERICAL ILI MATHEMATICAL ARITHMETICS ZIWE POSSIBLE IN CALCULATIONS..

NIRUDI KATIKA KWANINI FORCES ZINAZOGOVERN SHAPE TOFAUTI TOFAUTI ZA MINERAL HAZI ACT KTK KUISHAPE DUNIA

DUNIA NI COMPLEX IN TERM YA INTERNAL & EXTERNAL PROCESSES. INTERNAL KUNA VOLCANIC NA SEISMIC ACTIVITIES. EXTERNAL KUNA WEATHERIN GRADATION WIND NA WATER (AELION) ACTIVITIES KWAHIYO SHAPE YA NJE INAKUWA DETERMINED NA IZI ACTIVITIES SIO HIZI TU BALI KUNA RELATION KATI YA INTERNAL NA EXTERNAL THAT'S "ISOSTATIC PRINCIPLE" KWAMBA UKU KUKIBONYEA BASI KULE KUTA TANUKA.

MINERALS KAMA MINERALS ZINA UNDWA NA AGGREGATES ZA ATOMS TOFAUT TOFAUT MF DIAMOND AU GRAPHITE STUCTURE ZAO ZIKO TOFAUTI NA FLOURITE HII NI CHEMISTRY SASA... HOW ATOMS ARE BONDS TOGETHER..

SIJUI UMEPATA MWANGA KAMA NDIO HIYO ZAWADI NONO NAOMBA UNIPE.. AMBAPO HAPAJAELEWEKA ULIZA.
ASANTE
 
Mkuu hivi kuna tofauti gani kati ya oil shale na shale oil katika tasnia ya mafuta na gesi.
Oil shale ni sedimentary rock ambazo zimecontain colagen materials

Shale oil ni mchanganyiko wa organic matters, water, sand and clay. Kwa kifupi ni hivo
 
Duuuuuh....daaaaah...kwa maelezo hayo but hujaja katka reality...unajua ukweli utajulikana tu hata kwa maelezo...

But asante kwa mchango wako..lakini pia unataka kunambia shape ya earth as spherical ilibuniwa tu...??
Kwani unataka kunambia miaka yako hiyo cjui 4 hukufundishw how planets came to exist under laws and processes governed..??
Tuache siasa....nijibu
 
Inakuwaje kuna nyayo za binadamu kwenye baadhi ya mawe makubwa hapa tz?
Swali zuri sana. Nakumbuka topic iliitwa paleontology

Anyway hiyo ni kwamba zinaitwa trace fossils. Zilitokana na kipindi kile almost 40 million years ago.
Kabla udongo haujawa changed kuwa rocks hizo nyayo zilikuwepo kama kwenye matope tu. But kutokana na hali ilipobadirika ule udongo ukawa changed to stone na zile nyayo hazikuharibika ndo maana tunaziona mpaka saiv.

Kuna evidence nyingi kama nyayo za dinasors na wanyama wengine.
 
Jo Mkuu Kuna tofauti ganj kati ya Mawe na Miamba?
 
Pamoja classmate. Aka cr wangu enzi zileee
 
We jamaa unataka uandikiwe equation za garavity, ukisoma kuna evidence kibao kama rotation of the earth. Na mass of the earth......

Geophysics yote inahusika mkuu
 
Very simple

Ila acheni maswali ya mitego.

Nakumbuka inaform gneiss
Kweli kabisa...kuna watu wawil watatu humu wanauliza maswali ya mitego...wanauliza maswali ambayo wanajua Majibu yao...mwalim hawezi kumfundisha mwalim kuna sehem tu hawataelewana.. Mwalim anaweza kumfundisha mwanafunz tu

Acheni viherehere kudandia nyuzi za watu nyie mngeanzisha nyie basi huu uzi....subiri muhusika ajibu maswali kama mkiona kuna sehem ya kuongeza ongezeeni sio na nyie muulize maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…