Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Uko interested na chimbo? Well kama kun mgodi sehemu unweza kutumia taaluma yako na kuweza kujuwa hazina iliyopo au mpaka uchukuwe mchanga kutoka chimbo ukapimwe?

Je unayo taaluma ya kugunduqa miamba hasa kwa wachimbaji wadogo bila kutumia vifaa vya kisasa?

Je taaluma yako ni ya darasani zaidi au ukipelekwa field kwenye uhalisia unaweza kuitumia taaluma yako?
Kila kitu kinawezekana. As long as wataalam tupo wa kutosha. Kinachosumbua hii field ni umoja hasa katika kusaidiani.

Ukimwona mwenzio anazo sifa na anajituma usisite kumhusisha.

Hizi kazi za madili hazije zenyewe bila kujenga channel na wengine

TOGETHER WE CAN
 
Asante mkuu kwa kuwaona hao watu, ila sio mbaya [emoji57]
Mkuu hakuna mtu aliekatazwa kutoa mchango wake...mimi naona mtu kama anajua kitu na anaona muhusika ajajibu sahihi kivile basi aongezee na yeye kitu ili watu wapate info zaidi...

Au hao hao ma geologist waliopo umu wapeane chalenge ya maswali mbalimbali ambayo ata wengne wataelewa kwa urahisi tu ....sasa tatizo linakuja mtu anauliza swali ambalo ata uki'google' jibu linakuja moja kwa moja...ayo maswali tunasema mi maswali ya kutaka kuonekana na wewe umesoma hio kitu

Sio mtu kauliza swali ambalo kwa jinsi tu lilivyo ulizwa unajua kabisa ili swali la mitego au la kichokozi
 
Na naomba kujua mkanda wa dhahabu umepitia wapi ndani ya Tanzania [emoji101]
 
Kila kitu kinawezekana. As long as wataalam tupo wa kutosha. Kinachosumbua hii field ni umoja hasa katika kusaidiani.

Ukimwona mwenzio anazo sifa na anajituma usisite kumhusisha.

Hizi kazi za madili hazije zenyewe bila kujenga channel na wengine

TOGETHER WE CAN
Naomba unisome upya kisha unijibu kwa ufasaha, mimi nipo kwenye hii industry si kama mtaalam bali mmiliki, ukinijibu niliyokuuliza ndio utanipa mwangaza hata wakufanya arrangement za kwenda field kufanya visibility study.

Ndio maana nimekuuliza taaluma yako ni ya darasani tu au tukienda field unaweza kuitumia taaluma yako kwa vitendo?

Site zipo ila kutumbukiza pesa sehemu bila uhakika wakujuwa unachoitafuta ndio maana tunalipia tu leseni zetu lakini hatuchimbi unaweza kufirisika huku unajiona.
 
Daaa...aya makitu yalimfilisi kabisa babu yangu...alitumbukiza pesa zote uko mwisho wa siku akapotea kabisa na nyumbani...
 
Uko interested na chimbo? Well kama kun mgodi sehemu unweza kutumia taaluma yako na kuweza kujuwa hazina iliyopo au mpaka uchukuwe mchanga kutoka chimbo ukapimwe?

Je unayo taaluma ya kugunduqa miamba hasa kwa wachimbaji wadogo bila kutumia vifaa vya kisasa?

Je taaluma yako ni ya darasani zaidi au ukipelekwa field kwenye uhalisia unaweza kuitumia taaluma yako?
Kujua hazina ya mali inaitajika vipomo mkuu,
 
Naomba unisome upya kisha unijibu kwa ufasaha, mimi nipo kwenye hii industry si kama mtaalam bali mmiliki, ukinijibu niliyokuuliza ndio utanipa mwangaza hata wakufanya arrangement za kwenda field kufanya visibility study.

Ndio maana nimekuuliza taaluma yako ni ya darasani tu au tukienda field unaweza kuitumia taaluma yako kwa vitendo?

Site zipo ila kutumbukiza pesa sehemu bila uhakika wakujuwa unachoitafuta ndio maana tunalipia tu leseni zetu lakini hatuchimbi unaweza kufirisika huku unajiona.
+ Nikienda field ninao uwezo wa kuitumia pia
 
Mkuu hapa ni general knowledge tu.
 
Daaa...aya makitu yalimfilisi kabisa babu yangu...alitumbukiza pesa zote uko mwisho wa siku akapotea kabisa na nyumbani...
Dah we acha tu, mnaweka Camp wanaume wa shoka uhakikishe wanakula na kushiba na posho ndogondogo uwape halafu mwezi mzima bilabila inauma sana.

Ndio maana hapa nataka ukweli wa geologist wa kweli tuingie site, maana shida ya hizi mambo mwamba unaweza ukauona Mwenge kumbe mali zenyewe zipo Tegetaaaa!! Na siyo site yako, ndio ugumu wa biashara hii ulipo.

Lakini kama yupo Geologist wa uhakika n mkajiridhisha na site unaingiza Skaverta site bila mawazo, maana ukae ukijuwa kulikodi Skaverta kwa siku ni laki saba na opareta unamipa wewe na gari ya kulibeba kulileta site unalipa wewe pia.
 
Naomba unisome upya kisha unijibu kwa ufasaha, mimi nipo kwenye hii industry si kama mtaalam bali mmiliki, ukinijibu niliyokuuliza ndio utanipa mwangaza hata wakufanya arrangement za kwenda field kufanya visibility study.

Ndio maana nimekuuliza taaluma yako ni ya darasani tu au tukienda field unaweza kuitumia taaluma yako kwa vitendo?

Site zipo ila kutumbukiza pesa sehemu bila uhakika wakujuwa unachoitafuta ndio maana tunalipia tu leseni zetu lakini hatuchimbi unaweza kufirisika huku unajiona.
Sasa mkuu field bila taaluma ya darasani hakuna kitu. Ndo maana tunaanzia darasani, then inafata practical. Labda tu tofauti zetu ni uzoefu wa kazi ila mambo ya darasani ni yaleyale tu.
 
Back
Top Bottom