Huo ni ubahatishaji. As mtaalam inabidi uwe na vifaa. Madini sio kama mawe ya chimala. Unayoangalia kwa rangi na textureNaona mkuu alidirect kuwa ni small scale anahitaji mtaalam anaeweza kuobserve bila kutumia vifaa vya kisasa...
Duh mkuu, kwani sea sio part of the earth???...kutoka kwenye mchoro wako...Mkuu mbona unanikatalia.. Kama unalojibu liseme tu..
Dunia haipo spherical ndugu..
Angalia hapa
View attachment 371215
Kuna principle nyingi zilizo tolewa na watu tofauti, lkn juu la shape ya earth ni hivyo mkuu hakuna siasa hapa..
Mkuu, upo na uhakika unahitaji mtaalam?? Wa kazi nikucheki.Dah we acha tu, mnaweka Camp wanaume wa shoka uhakikishe wanakula na kushiba na posho ndogondogo uwape halafu mwezi mzima bilabila inauma sana.
Ndio maana hapa nataka ukweli wa geologist wa kweli tuingie site, maana shida ya hizi mambo mwamba unaweza ukauona Mwenge kumbe mali zenyewe zipo Tegetaaaa!! Na siyo site yako, ndio ugumu wa biashara hii ulipo.
Lakini kama yupo Geologist wa uhakika n mkajiridhisha na site unaingiza Skaverta site bila mawazo, maana ukae ukijuwa kulikodi Skaverta kwa siku ni laki saba na opareta unamipa wewe na gari ya kulibeba kulileta site unalipa wewe pia.
mkuu kati ya lake victoria greenstone belt na mpanda mineral field gold iliyopo ni kidogo kuliko mozambique mobile belt? hebu edit.Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.
Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
Hahahaha alifanya huo huo mchezo....kaweka kambi analisha wanaume na posho juu....baada ya miez kadhaa hakuna kitu kilichotoka hasara....alikua na kazi yake nzuri tu serikalini ikabidi aache na kazi ili apate mda wa kwenda kwenye machimbo yake.... Sijui alihisi kuna pesa ya fasta fasta kuleDah we acha tu, mnaweka Camp wanaume wa shoka uhakikishe wanakula na kushiba na posho ndogondogo uwape halafu mwezi mzima bilabila inauma sana.
Ndio maana hapa nataka ukweli wa geologist wa kweli tuingie site, maana shida ya hizi mambo mwamba unaweza ukauona Mwenge kumbe mali zenyewe zipo Tegetaaaa!! Na siyo site yako, ndio ugumu wa biashara hii ulipo.
Lakini kama yupo Geologist wa uhakika n mkajiridhisha na site unaingiza Skaverta site bila mawazo, maana ukae ukijuwa kulikodi Skaverta kwa siku ni laki saba na opareta unamipa wewe na gari ya kulibeba kulileta site unalipa wewe pia.
Mkuu wewe umenielewa vyema, na hao ndio wataalam wa miamba ambao tunawatumia,hawajasoma lakini akiingia shimoni kutafuta mwamba ni lazima aupate, ila kuna tatizo la mwamba kuhamahama njia, hapo ndipo ninapoona umuhimu wa mtu aliyekwenda shule.Naona mkuu alidirect kuwa ni small scale anahitaji mtaalam anaeweza kuobserve bila kutumia vifaa vya kisasa...
Nadhani unaweza kuona sasa shida ya elimu yetu bila field, unakuwa mzuri kwenye paper work lakini ukipelekwa front Omondi!Mkuu hapa ni general knowledge tu.
Mkuu wewe umenielewa vyema, na hao ndio wataalam wa miamba ambao tunawatumia,hawajasoma lakini akiingia shimoni kutafuta mwamba ni lazima aupate, ila kuna tatizo la mwamba kuhamahama njia, hapo ndipo ninapoona umuhimu wa mtu aliyekwenda shule.
Hii industry mtu aliye nje ngumu sana kuelewa na ikikukubali pesa yake ni tamu sana ila ikiamuwa kukupasuwa kichwa kuna sehemu mnapata mawe lakini hayana soko.
Ndio maana utaona wtu wanakwenda mpaka Mozambique wengine Congo ili kupata mawe ambayo ni hot cake, au mtu mwingine anaamuwa kudeal na dhahabu tu.
Uliyoandika hapa mtu asiyeelewa anaweza kudhani ni mchezo wa kuigiza kumbe ni kweli haya yanatokea kila siku, tena huyo aliyemshawishi utakuta kashamkimbia yupo na tajili mpya.Hahahaha alifanya huo huo mchezo....kaweka kambi analisha wanaume na posho juu....baada ya miez kadhaa hakuna kitu kilichotoka hasara....alikua na kazi yake nzuri tu serikalini ikabidi aache na kazi ili apate mda wa kwenda kwenye machimbo yake.... Sijui alihisi kuna pesa ya fasta fasta kule
Alikua akikosa chimbo hili anahamia chimbo lingne ivo ivo tena anaweka kambi na kulisha wanaume na posho juu....kaja kushituka hana kitu mfukon,akiba benki imeisha, kazi nzuri ya udaktar kaacha, watoto hawamuelewi uchumi umeyumba, madeni yamemjaa na hajui atalipaje....mzee akaona isiwe shida ishakua nuksi hii akakikimbia familia aisee.
Mkuu kwenye geology, kuna strike na dip direction, strike ina onesha orientation ya geologic structure na hapo ukishajua sehemu ya mwamba ulipo unaweza kuufuataMkuu wewe umenielewa vyema, na hao ndio wataalam wa miamba ambao tunawatumia,hawajasoma lakini akiingia shimoni kutafuta mwamba ni lazima aupate, ila kuna tatizo la mwamba kuhamahama njia, hapo ndipo ninapoona umuhimu wa mtu aliyekwenda shule.
Hii industry mtu aliye nje ngumu sana kuelewa na ikikukubali pesa yake ni tamu sana ila ikiamuwa kukupasuwa kichwa kuna sehemu mnapata mawe lakini hayana soko.
Ndio maana utaona wtu wanakwenda mpaka Mozambique wengine Congo ili kupata mawe ambayo ni hot cake, au mtu mwingine anaamuwa kudeal na dhahabu tu.
Nadhani kosa kubwa alilolifanya ni kitendo cha kufikiri kua pesa yake ni fasta sana ndo maana akapata na kiburi cha kuacha kazi serikaliniUliyoandika hapa mtu asiyeelewa anaweza kudhani ni mchezo wa kuigiza kumbe ni kweli haya yanatokea kila siku, tena huyo aliyemshawishi utakuta kashamkimbia yupo na tajili mpya.
Mimi hii industry nimejiongeza mapema kwamba siyo inayoniweka mjini, hii ni biashara ya muda mrefu si yakuyaona matunda leo wala kesho.
Kwakweli kilichompata huyo ndugu yako ndio risk zilizopo kwenye hii industry, sometimes ni bora uwe broker wa kwenda kununuwa migodini halafu wewe uuze kuliko kuanzisha uchimbaji.
Crude oil ni mafuta ambayo huchimbwa chini na yanapatikana katika sedimentary basins kwani content yako inatokea baada ya plants and animals wakifa i mean remains of plant and animals at the bottom of the sea....**** mechanism zinazotake miaka mingi hadi crude oil inapatikana then petroleum inatokana na crude oil ikiwa purifiedNaomba unijulishe crude oil au mafuta petrolium yanasababishwa na nini?!nini kinafanyika hadi yanatokea
Acha kabisa mkuu, ndio maana watu huwa tunafunguka humu JF ili wengine wapate elimu ya bure, pesa ni ngumu sana na biashara hii si mawe yote ni hot cake.Nadhani kosa kubwa alilolifanya ni kitendo cha kufikiri kua pesa yake ni fasta sana ndo maana akapata na kiburi cha kuacha kazi serikalini
ExactlyMkuu kwenye geology, kuna strike na dip direction, strike ina onesha orientation ya geologic structure na hapo ukishajua sehemu ya mwamba ulipo unaweza kuufuata
Pole sana mkuuAcha kabisa mkuu, ndio maana watu huwa tunafunguka humu JF ili wengine wapate elimu ya bure, pesa ni ngumu sana na biashara hii si mawe yote ni hot cake.
Huyo babu yako angeweza kupata hata mifelisper akaijaza tu store bila kumfaidi chochote, wewe mawe unaambiwa kilo sh 3000 ni kwa nini usiuze semba la Azzam tu?
View attachment 371232
Mkuu hizi mambo unazifanya bado?, na ni wapi haswa unapofanya (field)Acha kabisa mkuu, ndio maana watu huwa tunafunguka humu JF ili wengine wapate elimu ya bure, pesa ni ngumu sana na biashara hii si mawe yote ni hot cake.
Huyo babu yako angeweza kupata hata mifelisper akaijaza tu store bila kumfaidi chochote, wewe mawe unaambiwa kilo sh 3000 ni kwa nini usiuze semba la Azzam tu?
View attachment 371232
Daaa..poleni sana nduguAcha kabisa mkuu, ndio maana watu huwa tunafunguka humu JF ili wengine wapate elimu ya bure, pesa ni ngumu sana na biashara hii si mawe yote ni hot cake.
Huyo babu yako angeweza kupata hata mifelisper akaijaza tu store bila kumfaidi chochote, wewe mawe unaambiwa kilo sh 3000 ni kwa nini usiuze semba la Azzam tu?
View attachment 371232