Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hiyo ni lugha ya roho mtakatifu, wanaelewa nae wanaoongea hiyo lugha."Babbababababa shika raba..." Huwa Ina maana gani?
Ameuliza Ina maana gani , hajauliza nani anaelewa nani haelewiHiyo ni lugha ya roho mtakatifu, wanaelewa nae wanaoongea hiyo lugha.
Ili uwe Mtume, Nabii, Mchungaji, Mwalimu au Mwinjilisti lazima Mungu akuthibitishe aidha direct yeye mwenyewe akuambie nimekuita kwa kazi hii au atamtuma Mtumishi wake mwaminifu akuambie wito wako.Kunena kwa lugha kunakofanywa na wale wanaojiita kuwa ni mitume, manabii na wafuasi waoo kuna uhusiano wowote na Mungu?
Lugha ya roho mtakatifu, hajui kiarabu.Katika kunena, ni lugha gani hutumika
Maana anaijua roho mtakatifu, wewe unataka kujua maana kwani wewe ni roho mtakatifu?Ameuliza Ina maana gani , hajauliza nani anaelewa nani haelewi
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Nafikiri umekuja kwa lengo la kukashfu na sio kujifunza. Jamaa kaleta uzi mzuri tu na kama unaina haukufai, nenda kwenye nyuzi zingine maana utaanza kuleta malumbano na kashfa za kidini wakija wenzako wenye mihemko mkuu na halitakiwa jambo zuri.Lugha ya roho mtakatifu, hajui kiarabu.
Njoo ujibu maswali huku, mbona unaingia mitini?Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue kuwa MUNGU anakaa ndani yao .
View attachment 2950461View attachment 2950462
Kutokana na somo langu la kwanza la maombi katika Roho kumekuwa na maswali mengi juu ya kunena kwa lugha.
Mwenye swali aweke hapa Mimi pamoja na viongozi wengine wabobezi humu ndani tutawajibu.
Huja jibu swali lakiniIli uwe Mtume, Nabii, Mchungaji, Mwalimu au Mwinjilisti lazima Mungu akuthibitishe aidha direct yeye mwenyewe akuambie nimekuita kwa kazi hii au atamtuma Mtumishi wake mwaminifu akuambie wito wako.
Kama huyo mchungaji, nabii, Mtume, Mwinjilisti au mwalimu amejiita tu mwenyewe huyo hatashindwa kuendelea kuigiza au kudanganya jambo lolote.
Jamboree la muhimu je, Mungu kamwita au amejiita mwenyewe au Ibilisi ndiye kamtuma.
Sasa kumbukumbu ukisema kunena kwa lugha huwezi zungumza kile alichosema mwenzako hata mitume siku wamevuviwa roho mtakatifu hawakusema yale yale kila mtu na lake hivi hii kasumba wote wanapoanza kunena kwa lugha unasikia wanaaza na hili neno leten ushaid"Babbababababa shika raba..." Huwa Ina maana gani?
Hili nitakujibu kwa muundo wa swali.Kama kunena kwa lugha ndio kule kulikozungumzwa kwenye biblia, basi jambo lile liliwatokea wafuasi wake tu, sina maarifa zaid yanayosema kuwa kuna mwingine naye alinena kwa lugha!
- Waliponena kwa lugha, wengine wengi waliwaelewa kwa lugha zao.
- Yaani aongee kinyiramba, mimi msukuma namsikia kwa kisukuma, mrangi hivyo hivyo, mnyaki, mchaga, muha, mndendeure etc wote wanamuelewa jamaa.
Sasa nyie mnaotaja taja miji ya watu hovyo, nilimsikia mmoja katikati ya kelele zake anasema, "antanananananarivo" mnakuwa mnaeleweka na akina nani?
Si wote wanaonena kwa Lugha hunena lugha za Kimungu.enhee
Sasa kumbukumbu ukisema kunena kwa lugha huwezi zungumza kile alichosema mwenzako hata mitume siku wamevuviwa roho mtakatifu hawakusema yale yale kila mtu na lake hivi hii kasumba wote wanapoanza kunena kwa lugha unasikia wanaaza na hili neno leten ushaid
View attachment 2950496
Sasa unataka nijibu nini?Huja jibu swali lakini