Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue kuwa MUNGU anakaa ndani yao .
Kutokana na somo langu la kwanza la maombi katika Roho kumekuwa na maswali mengi juu ya kunena kwa lugha.
Mwenye swali aweke hapa Mimi pamoja na viongozi wengine wabobezi humu ndani tutawajibu.