Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wimbo wa malaika nakupenda malaika " uliimbwa na nani ? Na ulitoka mwaka gani ?😇For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Angelic beings. Huo wimbo unazingumzia Malaika kama sura ya binti mrembo sio wale invisible being.Wimbo wa malaika nakupenda malaika " uliimbwa na nani ? Na ulitoka mwaka gani ?😇
Ninaweza kukujibu maswali yako lakini namna ya uulizaji wako ni kama vile mwalimu anamuuliza mwanafunzi. Hata nikikujibu haitakusaidia. Soma post #7 nawe upate kitu kidogo1. Naomba majina ya malaika watatu waliongooza vita mbinguni dhidi ya shetani
2. Nitajie jina la malaika aliepgana na yakobo!
Unapozaliwa automatically Mungu hukuwekea malaika. Yaani malaika wako special mpaka siku unakufa nao huondoka. Malaika wako wapo wa makundi 2 . 1.Secretary, huyu kazi yake kubwa ni kuandika kila unalolisema, kufikiri au kufanya na siku ya hukumu ndiye atapeleka kitabu mbele za Mungu. That's why dhambi ziko za kutenda, kufikiri na kuongea.Naomba namna bora ya kutumia na kuwatuma malaika kunisaidia katoka mambo mbalimbali kila siku....
No. 7 nimeongeza kitu rudia kusomaNaomba namna bora ya kutumia na kuwatuma malaika kunisaidia katika mambo mbalimbali kila siku....
Swali no. 1.Mkuu nina maswali machache:
1•Utajuaje aina ya malaika uliye nae?
2•Naomba majina ya malaika na kazi zao - mimi nawafahamu watatu tu: Mikaeli, Gabrieli, Rafaeli.
3•Je, tuna mamlaka ya kuwaamuru malaika watusaidie?
Maswali mazuri. Ila umeuliza mengi . Nitakujibu yote. Ubarikiwe. But nitajibu mawili mawili kwanzaYangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
Kwanini malaika hawana huruma kama Mungu?.For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Maswali mazuri. Ila umeuliza mengi . Nitakujibu yote. Ubarikiwe. But nitajibu mawili mawili kwanza
1.Malaika wanasikia mtu anapoongea na wanaona unapofanya jambo.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
Hapana.Kwanini malaika hawana huruma kama Mungu?.
Nimekuambia nitakujibu yote but mawili mawili ili nipate time ya kuwajibu wengine. Mimi sifanyi research google. Ninajibu kwa knowledge ya Kimungu na experience yanguKwani ulisema tuandike machache au? Haya kafanye research zaidi uje unijibu. Amen
Mkuu shukrani kwa majibu, ila itapendeza kama utaweka rejea kutoka kwenye biblia ili kuhalalisha majibu yako.1.Malaika wanasikia mtu anapoongea na wanaona unapofanya jambo.
2. Kuna malaika, chief Angels kundi la Maserafi wanaishi mbingu ya 3 pamoja na Mungu.
Makerubi mbingu ya pili , wengine mbingu ya 1 na wengine hawaishi mbingu. Wako duniani tu.