Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
- #21
3.Mtu mmoja anakuwa na malaika basic wasuopungua 3 anapozaliwa , na anapomjua Mungu au anapokuwa na wito maalumu wa kihuduma wataongezwa kulingana na kazi yake. Kwahiyo number of angels from one man to another can be difeer.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
4. Yes. Kila mmoja ana malaika wake, although kuna malaika wale wanaotumwa na Mungu kufanya assist kwa watu hao hawako kwaajili ya mtu mtaalumu. They move huku na kule