Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,455
- 6,340
1.Kuna utofauti kati ya malaika na majini
Majini hata mtu mwovu , muuaji, mpiga punyeto, mvuta sigara anaweza kumuita simple.
Malaika ili aweze kuweka kuja kwako kirahisi ni lazima uwe na Roho Mtakatifu. Sharti lingine ni kuwa na uelewa , kama hivi navyofundisha hii knowledge inakupa hatua nyingine. Maana malaika ni rahisi kuja kujionyesha kwa mtu mwenye uelewa nao kuliko yule ambaye hajui chochote.
Hatua zingine ni kufanya meditation, meditation huwezi kufanya kwa kitu usichokijua, knowledge plus meditation utawaona malaika.
Malaika hawapendi vitu hivi 3.
Pombe
Punyeto
Sigara/bangi. Vitu vyenye asili ya kutoa moshi.
Kuna vitu vinavutia malaika takutajia pia ila kwa sasa zingatia hayo mambo niliyoyaweka juu utawaona .
No. 3 nakuja kukujibu
Ubaya wa mrevi na mpiga punyeto ni upi?
Je hizo habari za malaika ulisimuliwa na nani?
Hao malaika uliwahi kuwaona au kukutana nao na mkafanya mazungumzo?