Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #21
3.Mtu mmoja anakuwa na malaika basic wasuopungua 3 anapozaliwa , na anapomjua Mungu au anapokuwa na wito maalumu wa kihuduma wataongezwa kulingana na kazi yake. Kwahiyo number of angels from one man to another can be difeer.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
Majibu yangu yanabase kwenye Biblia na personal experience.Mkuu shukrani kwa majibu, ila itapendeza kama utaweka rejea kutoka kwenye biblia ili kuhalalisha majibu yako.
Wengi wamefungwa sana hapa na ni vigumu kutoka.Majibu yangu yanabase kwenye Biblia na personal experience.
Kuna siri Mungu huwapa watu huwezi kuziona kwenye Biblia. Uwe flexibility mbele za Mungu atakuinyesha mambo makuu makubwa usiyoyajua.
That's why kuna walimu wa Theology wana PhD lakini hata kukemea pepo hawawezi, hata malaika hawajawahi kumuona. Kwakuwa baada ya kuijua Biblia wakadhani wanamjua Mungu. Kumbe Mungu ni mlima.
Siipingi Biblia ila ninachotaka kusema ni kwamba usifungwe na vifungo vya Biblia
Nitakujibu ingawa sijajua bado intention ya swali lako.Good
Naomba unipe tofauti ya hawa wafuatao
Ophanims
Cherubiums
Seraphins
Gregorian
Phoenix
Behemoth
Halafu nataka kujua hawa malaika
Samael
Azazel
Semzaya (huyu namjua)
Halafu hawa
Metatron
Uriel
Raphael
Shukran
Yes. Kifungo cha Biblia kibaya danaWengi wamefungwa sana hapa na ni vigumu kutoka.
Ni namna gani nzuri na yenye matokeo ya kuwaagiza malaika wafanye jambo katika maisha yangu?Majibu yangu yanabase kwenye Biblia na personal experience.
Kuna siri Mungu huwapa watu huwezi kuziona kwenye Biblia. Uwe flexibility mbele za Mungu atakuinyesha mambo makuu makubwa usiyoyajua.
That's why kuna walimu wa Theology wana PhD lakini hata kukemea pepo hawawezi, hata malaika hawajawahi kumuona. Kwakuwa baada ya kuijua Biblia wakadhani wanamjua Mungu. Kumbe Mungu ni mlima.
Siipingi Biblia ila ninachotaka kusema ni kwamba usifungwe na vifungo vya Biblia
Kwanza lazima ujue malaika aliyeko mbele zako ni wa namna gani.Ni namna gani nzuri na yenye matokeo ya kuwaagiza malaika wafanye jambo katika maisha yangu?
Asante naomba sasa unipe mambo muhimu au hatua za kuwatuma ili wafanye jambo fulaniKwanza lazima ujue malaika aliyeko mbele zako ni wa namna gani.
Kwa wale wanakuja baada ya kufanya maombi au meditation lazima ujue ni malaika wa nini.
Anaweza kuja malaika wa vita wewe kwa kukosa uelewa unamtuma mambo ya fedha.
Angels of prosperity
Angels of wars
Angels of informations
Angels of knowledge
Angels of praise
Angels of healing
N.k
Kuna wakati wanakuja malaika kuabudu hapo direct inabidi uache kuomba uanze kuabudu.
5. Malaika mara nyingi wanatuokoa na mauti hata sisi wenyewe bila kujua.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
Malaika sio ma robot. Malaika wanafanya kazi kimungu yaani kwa MAPENZI ya Mungu. Kabla hujawaza kuwatuma kwa manufaa yako lazima ujue kwanza God"s will katika jambo husika.Asante naomba sasa unipe mambo muhimu au hatua za kuwatuma ili wafanye jambo fulani
7. Unaweza kuwaita moja kwa moja lakini kama hujui lugha zao (angelic tongues) inabidi umwombe Mungu yeye ndiye awatume kwako.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
9.Malaika wako hawezi kuhama kwako mpaka siku unakufa.Yangu ni haya kwa Neema na Rehema.
1. Malaika wanasikia mtu akiongea?
2. Malaika wanaishi wapi?
3. Malaika wangapi wanakuwa na mtu?
4. Inasemwa wanatulinda kila mmoja na Malaika wake, je ni kweli?
5. Malaika wakiona kitu kibaya kinamjia mtu kama kutokwa uhai, kwanini hawamkomboi kila mtu?
6. Je, ni lazima kuomba ndio wanatokea? Kwanini muda mwingine hawatokei? Utajuaje wapo nawe? Na hawapo nawe?
7. Je, mtu unaomba Mwenyezi Mungu ndio atume Malaika tu walinde au ni kuwaita wao moja kwa moja?
8. Ni kweli kila anayefariki anakuwa Malaika au Malaika wanao Linda duniani wanaondoka nae alifariki?
9. Malaika wa nachagua mtu au wana hamahama?
10. Malaika wanazaa?
11.......
Aminaaa
Ni kweli kifungo Cha biblia kulifanya mayahudi kumuua Yesu kwa kuona mbona anaongea vitu ambavyo ni tofauti na biblia.Yes. Kifungo cha Biblia kibaya dana
1.Kuna utofauti kati ya malaika na majini1.Nawezaje kuwaita malaika nataka niwaone
2.Namna Ipi ya kumtumia malaika na akatekeleza unachotaka?
3.Alafu Kama Kuna malaika wa ulinzi kwanini Mipango miovu ya waanadamu kwa Binadamu wenzao Hufanikiwa au Malaika anachugua pakukulinda na pakukuacha mwenyewe?
Utamsikia mtu anasema "nimekutana na mwanamke mzuri kama malaika",kwani malaika ni wanawake...?For those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Wahubiri wengi wanadhani wanahubiri Injili kumbe wanahubiri Torati. Hawataki kabisa kutoka katika kifungo cha torati that's why hawaoni ukuu wa Mungu.Ni kweli kifungo Cha biblia kulifanya mayahudi kumuua Yesu kwa kuona mbona anaongea vitu ambavyo ni tofauti na biblia.
Malaika hawana jinsia but wanaweza kuja kwako kwa umbo la kike. Malaika ni shapeless, hivyo anapokwenda kwa mtu huvaa umbo atakalo yeye kulingana na mission aliyotumwa kwako.Utamsikia mtu anasema "nimekutana na mwanamke mzuri kama malaika",kwani malaika ni wanawake...?