Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #41
Malaika wako atajitambulisha kwako siku ukimwona. Atataja jina lake, atakutajia jina lako la kimbingu. Mda mwingine majina aliyotupatia Mungu wazazi wetu wameyapindisha na kutupatia mengine that's why destiny zetu muda mwingine zinayumba.Nitawatambua vipi Malaika wangu?
Naomba kufahamu kazi za malaika Mikaeli, Raphaeli na Urieli kwa pamoja au mmoja mmoja🙏🏽Maswali mazuri. Ila umeuliza mengi . Nitakujibu yote. Ubarikiwe. But nitajibu mawili mawili kwanza
Am comingNaomba kufahamu kazi za malaika Mikaeli, Raphaeli na Urieli kwa pamoja au mmoja mmoja🙏🏽
Malaika ni representative of God.Je kuna malaika wakike na wakiume au wakiume pekee?
Maana majina mengi ya malaika tunaona ni ya kiume tu..
Kama wewe sio malaika huwezi jua mambo ya malaika, hapa utakuwa unatupanga tuFor those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Akikujibu hapo kwenye uriel na mutation ni tagGood
Naomba unipe tofauti ya hawa wafuatao
Ophanims
Cherubiums
Seraphins
Gregorian
Phoenix
Behemoth
Halafu nataka kujua hawa malaika
Samael
Azazel
Semzaya (huyu namjua)
Halafu hawa
Metatron
Uriel
Raphael
Shukran
Hao wote ni malaika wakuu wanaokaa third heavens pamoja na Mungu.Naomba kufahamu kazi za malaika Mikaeli, Raphaeli na Urieli kwa pamoja au mmoja mmoja🙏🏽
Uriel, Mikael na Raphael someni post #49Akikujibu hapo kwenye uriel na mutation ni tag
Dalili nyingine ya malaika kuwa wamefika mahali unapoomba ni ndimi kubadilika .Kuna kitu umeongea hapo juu,kuna hali huwa inanitokea napokuwa kwenye maombi,mwili kuusikia ukisisimka,au nywele kuhisi kama zinasimama au hata kuhisi kama moto au ubaridi unaopanda na kushuka kwenye mwili,inaweza kuwa ni ishara kuwa malaika wanakuwa karibu yangu,maana hata kama nilikuwa na usingizi au uchovu huwa unakatika ghafla na nguvu yangu ya maombi huwa inaongezeka...
Lugha za kimalaika kwahiyo sio moja ?Dalili nyingine ya malaika kuwa wamefika mahali unapoomba ni ndimi kubadilika .
Am feel power right now.
Hizo zote ni ishara malaika wamefika.
Malaika wanasikia lugha mbili 2.
1. Telepathic language (mawazo)
2. Angelic tongues (ndimi za malaika)
Wakija hapo hakikisha unanena ndimi za kimalaika bahati mbaya wengi hawazijui. Nitakufundisha Mungu akitupa neema.
Hapo telepathic tumia mawazo kuongea nao.
Ukinena ndimi za kibinadamu hawasikii, ukinena ndimi za roho Mtakatifu hawazijui. Tafundisha somo la kunena kwa lugha one day.
Jibu la Swali Kwa Nini Malaika hawana huruma ni Simple,Haina Maelezo mengi kama ulivyoandika... !Hapana.
Malaika huvaa sura kulingana na mission zao.
Wa vita Huwa harsh while wa information huwa wenye sura ya huruma
Sawa najua ni lazima kufanya kwa mapenzi ya Mungu, ila bado hujatoa kanuni za kufanya kazi nao, e.g. je unaongea nao moja kwa moja, au unaongea na Mungu na yeye anawatuma, au unawaomba kwa Jina la Yesu, au unafanyaje?Malaika sio ma robot. Malaika wanafanya kazi kimungu yaani kwa MAPENZI ya Mungu. Kabla hujawaza kuwatuma kwa manufaa yako lazima ujue kwanza God"s will katika jambo husika.
Ili malaika wakutokee kuna conditions kadhaa na moja ya condition ni mtu kuishi kwa MAPENZI ya Mungu kwanza na si kwa tamaa zake.
It's same na alivyosema yakobo kuwa mwaomba hampati kwakuwa mnaomba kwa tamaa zenu.
😹😹😹Wimbo wa malaika nakupenda malaika " uliimbwa na nani ? Na ulitoka mwaka gani ?😇
Kwa nini malaika wa kiislamu ni waarabu halafu wa kikristo ni wakizungu ila shetani ni mwafricaFor those who want to know deep or more about angelic beings you are welcome.
Uliza swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu.
Nalogout sasa, someni kwanza hayo ya chini. Nitakuja kuendelea kujibu maswali yenu mengine jioni. Mungu awabariki sana.
Karibu...Dalili nyingine ya malaika kuwa wamefika mahali unapoomba ni ndimi kubadilika .
Am feel power right now.
Hizo zote ni ishara malaika wamefika.
Malaika wanasikia lugha mbili 2.
1. Telepathic language (mawazo)
2. Angelic tongues (ndimi za malaika)
Wakija hapo hakikisha unanena ndimi za kimalaika bahati mbaya wengi hawazijui. Nitakufundisha Mungu akitupa neema.
Hapo telepathic tumia mawazo kuongea nao.
Ukinena ndimi za kibinadamu hawasikii, ukinena ndimi za roho Mtakatifu hawazijui. Tafundisha somo la kunena kwa lugha one day.