Niulize swali lolote kuhusu Malaika nitakujibu


Ubaya wa mrevi na mpiga punyeto ni upi?

Je hizo habari za malaika ulisimuliwa na nani?

Hao malaika uliwahi kuwaona au kukutana nao na mkafanya mazungumzo?
 
Haya mambo ya mtu kujifanya yeye ni roho anajua kila kitu hata malaika unawajua ndio kuchanganyana akili huku.
Upo duniani malaika umemuona wapi
Mambo ya malaika tuwaachie malaika.
 
Kuna Jambo umelisema kuhusu kujitambulisha - hilo nakubaliana nawe Mia Kwa Mia . Wangu Alinitokea Siku moja na kunitajia jina lake . Siku Nyingine alikuja akanifundisha namna ya kusali au kuomba. Mara ya mwisho - nilimuona usiku wa saa 8 akiwa pembeni ya kitanda changu utosini. Siku hiyo, kuna kitu kilikuwa kinaenda kumdhuru mke wangu ambaye alikuwa pembeni yangu. Yaani niliona nguvu ya ajabu katika mkono wangu wa kulia ulioamshwa na malaika wangu kwenda Kumuadabisha kiumbe kingine aina ya mwanamke asiye na sura, aliyetaka kumdhuru mke wangu pembeni ya kitanda. Nilipo nyoosha tu mkono wenye nguvu za ajabu usiku huo, nikaona tu mlango umefunguka. Kabla sijakaa Sawa , dirisha pia likafunguka.

Nikashindwa kuongea maana ni Kama vile Ulimi wangu ulikuwa umejeruhiwa Kwa wembe mwishoni mwa koo langu.
Baada ya wiki , ndiko ulimi wangu ukapona. Kwa sasa huwa nalala kwa mashale sana - naogopa nikistuka saa 9- na Mara Nyingi huo ndio muda nautumiaga kusali.

Asante kwa kutoa elimu nzuri ya malaika
 
Glory be to the God.
Malaika ni muhimu sana kwenye biashara, kazi, vita vya kiroho n.k
But for the babies wanakalia kutaja damu ya Yesu kwenye vita bila kujua kuwa damu ya Yesu haidili na vita bali dhambi that's why watu wanafeli kwenye tuvita tudogo tudogo
 
Ulisema malaika hawapendi moshi, je wanapenda vitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…