[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona leo umeamka na mimi eti!
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naumwa na baada ya kuhangaika sana hospitali bila mafanikio ndipo nikaambiwa nitumie mitishamba, ndipo nikajikuta kwa maumivu niliyokuwa nayapata akili haikuwa sawa ndipo nikakubali ila kishingo upande. Ijapokuwa nilipona Ila nilijutia sana kitendo hicho.Ulienda kufanya nini kwa mganga?
Hata mie huwa inanitokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naamini hata kwako iko hivo.[emoji3][emoji3]
Kuna mtu ukiona tu koment yake unajihisi raha. Hata kama hamuongei pm.
Namshukuru Mungu kwa kweeli!Mshukuru sana Mungu kwa kukuvua na balaa hilo.
Hakuna tatizo yote maisha kwavile Mungu ndio alopanga kwa viumbe vyake na hakuna kiumbe alochagua aumbwe vipi. [emoji120][emoji120][emoji120]
Hata mie huwa inanitokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nieleweshe kivipi kwa maana sijakufahamu.
Hahaha hahahaUnaishia tu kusema jamani huyu kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuwa kama yale mapenzi ya kitoto toto. Kuna katoto kenzio unakapenda ila kukambia huwezi. Unabaki tu kuwa unakatizama basi nafsi inaridhika.
Vipi kama nakuzidi umri eti kakangu wa faidaSakayo ni mdogo wangu, ijapokuwa hatujuani kiundani lakini nakumbuka nilikuwa nakutana nae humu majukwaani, na kila mara nilipokuwa nikimuuliza kitu basi alikuwa ananijibu kama nilivyostahili kujibiwa ndipo hapo nikajikuta nampenda sana na kumchukulia kama mdogo wangu.
Hahaha hahaha
Wewe uko na maakili...
Huwa nani anakufanya umtazame etii
Achana na mambo za 0 level...Kuna mwanamke hadi namaliza O level niliishia kumtizama tu. Yaani kwake nilikuwa bogus kabisa, mpaka leo najishangaa.[emoji3][emoji3]
Mpaka baadhi ya jamaa zangu walijua namuogopa yule manzi.
Ya humu tuyaache.
Achana na mambo za 0 level...
Huku nani anakuziba mdomo