Niulize swali lolote kunihusu leo

Niulize swali lolote kunihusu leo

Ulienda kufanya nini kwa mganga?
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naumwa na baada ya kuhangaika sana hospitali bila mafanikio ndipo nikaambiwa nitumie mitishamba, ndipo nikajikuta kwa maumivu niliyokuwa nayapata akili haikuwa sawa ndipo nikakubali ila kishingo upande. Ijapokuwa nilipona Ila nilijutia sana kitendo hicho.
 
Unaishia tu kusema jamani huyu kaka[emoji23][emoji23][emoji23]

Inakuwa kama yale mapenzi ya kitoto toto. Kuna katoto kenzio unakapenda ila kukambia huwezi. Unabaki tu kuwa unakatizama basi nafsi inaridhika.
Hata mie huwa inanitokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili linamuhusu Mwn JF Sakayo

Unamzungumziaje huyu mwanadada?[emoji3]
Kwa upande wako.
Sakayo ni mdogo wangu, ijapokuwa hatujuani kiundani lakini nakumbuka nilikuwa nakutana nae humu majukwaani, na kila mara nilipokuwa nikimuuliza kitu basi alikuwa ananijibu kama nilivyostahili kujibiwa ndipo hapo nikajikuta nampenda sana na kumchukulia kama mdogo wangu.
 
Mkeo akikukasirisha huwa unachukua hatua gani kupunguza hasira zako.
Pia ukimkasirisha huwa unafanya nini kumrudisha normal?
(Jibu lako mabechela tunaweza kujifunza)
 
Unaishia tu kusema jamani huyu kaka[emoji23][emoji23][emoji23]

Inakuwa kama yale mapenzi ya kitoto toto. Kuna katoto kenzio unakapenda ila kukambia huwezi. Unabaki tu kuwa unakatizama basi nafsi inaridhika.
Hahaha hahaha
Wewe uko na maakili...
Huwa nani anakufanya umtazame etii
 
Sakayo ni mdogo wangu, ijapokuwa hatujuani kiundani lakini nakumbuka nilikuwa nakutana nae humu majukwaani, na kila mara nilipokuwa nikimuuliza kitu basi alikuwa ananijibu kama nilivyostahili kujibiwa ndipo hapo nikajikuta nampenda sana na kumchukulia kama mdogo wangu.
Vipi kama nakuzidi umri eti kakangu wa faida
 
Kuna mwanamke hadi namaliza O level niliishia kumtizama tu. Yaani kwake nilikuwa bogus kabisa, mpaka leo najishangaa.[emoji3][emoji3]
Mpaka baadhi ya jamaa zangu walijua namuogopa yule manzi.
Ya humu tuyaache.
Hahaha hahaha
Wewe uko na maakili...
Huwa nani anakufanya umtazame etii
 
Kuna mwanamke hadi namaliza O level niliishia kumtizama tu. Yaani kwake nilikuwa bogus kabisa, mpaka leo najishangaa.[emoji3][emoji3]
Mpaka baadhi ya jamaa zangu walijua namuogopa yule manzi.
Ya humu tuyaache.
Achana na mambo za 0 level...
Huku nani anakuziba mdomo
 
Back
Top Bottom