Niulize swali lolote kunihusu leo

Niulize swali lolote kunihusu leo

SAS kweny kubet kwa sisi vijana tunasema umeweka double chance na bado umepigwa

Najua hujanielewa ila alieomba iyo nyimbo atakua kanielewa tu labda awe ameamua kukaza ubongo
Hahaha hahaha
Hiyo ni lugha gani eti Mkuu! Najua ni kiswahili ila mbona sijakielewa eti!!

Huo wimbo memuwekea kwa mapenzi mema! Ni wimbo ambao nausikiliza kila leo bila kuchoka!

Hope ataupenda pia!
 
Nilijua huwez kuelewa ndo maan nikasema alieomba iyo nyimbo lazim aelewe

Ni kiswahili cha kawaida sema ni maneno ya kweny vijiwe vya kubet...najua alitegemea nyimbo flani ya mapenzi ila umeleta ya dini(ni maoni yangu ya kiume haya)

NB ....nipo salama kiakili na namzidi yule aliekata uume wake ili amtumikie mungu
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Kumbe alitaka ya maloveee!

Aburudike na hiyo bana!
 
Back
Top Bottom