Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahaha hahahaSAS kweny kubet kwa sisi vijana tunasema umeweka double chance na bado umepigwa
Najua hujanielewa ila alieomba iyo nyimbo atakua kanielewa tu labda awe ameamua kukaza ubongo
Hiyo ni lugha gani eti Mkuu! Najua ni kiswahili ila mbona sijakielewa eti!!
Huo wimbo memuwekea kwa mapenzi mema! Ni wimbo ambao nausikiliza kila leo bila kuchoka!
Hope ataupenda pia!