Niulize swali lolote nitakujibu

Niulize swali lolote nitakujibu

Roma na moni walitekwa na nani? Roma alipigwa na kuhojiwa na watesi wake je, walimhoji maswali gani?
 
Dunia ni duara na imejaa maji. Kuna nguvu ya uvutano ( gravitational force) na nguvu ya kati( centrifugal force) na nguvu mwendo( curriolis force), Je ni ipi inayozhikilia maji?
 
Makonda kampa nini rais mpaka asitumbuliwe??
Unajuwa raisi magufuli sio mtu wa kawaida ni mtu anaetumia kauli kuliko sheria na maamuzi yake kama tunavoona,hivyo rais
magufuli anapenda watu style kama yeye.
 
Back
Top Bottom