Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
Mkuu subiri majibu yatolewa SAA 2:00, japo haijurikani ni ya lini hiyo saa2!!!PAMPUCHI ni nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu subiri majibu yatolewa SAA 2:00, japo haijurikani ni ya lini hiyo saa2!!!PAMPUCHI ni nini mkuu?
Hahahahah.. Mzee Dokta Utauaaaaanikumbushe root za branchio plexus
huyu mkuu anazingua sana atawezaje maswali yooote duniani?Hahahahah.. Mzee Dokta Utauaaaaa
Swali sahihi. Anapaswa kuanza na hiliMajibu yataanza 2:00 usiku wa tarehe ngapi?
Unajuwa raisi magufuli sio mtu wa kawaida ni mtu anaetumia kauli kuliko sheria na maamuzi yake kama tunavoona,hivyo raisMakonda kampa nini rais mpaka asitumbuliwe??
Hakuna utofauti wowote ila ni kiswahili tuKuna tofauti gan kati ya Suali na Swali?
Kwasababu inataka maendeleo kwa haraka wakati changamoto ni moja kati ya sehemu ya maishakwann serikali ya magufuli imefeli ..
Jibu jibu manHakuna utofauti wowote ila ni kiswahili tu
spinal nerves formed = C5, C6, C7, C8 and T1.nikumbushe root za branchio plexus
Keep your question clearKwa nini dunia inajungusha kwenye mhimili toka mashariki kwenda magharibi na sio magharibi kwenda mashariki?