Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Tunakutana sa ngapi
 
Maisha haya watu wanapita kwenye mengi sana...endelea mkuu, naamini humu tupo wengi tuliokutana na hayo mambo...
 
WASANII WETU WALIVYO BONGO LALA HAWAONI FURSA HAPA.WANGESHAONGEA NA HUYU JAMAA KUHUSU KUTENGENEZA MOVIE MOJA KALI SANA.WAMEAKALIA KUZUNGUKA MITAANI KUTUPIGA MIZINGA TU AU KUHUBIRI UZALENDO!!
Baadhi walithubutu kufanya hivyo
ila tulishindwana bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…