Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Lakini Corona haina moaka 6 toka iingie nchini na duniani kote
 
We ndugu bado upo Cape Town au covid ilipita na wewe, au xhosas wamekumaliza huko
 
Mambo vp guys...!!!

Ule mwendelezo wa hadithi tam y kusisimua nitaanza kuileta hivi punde.

Ni hadithi ya kweli inayonihusu mimi mwenyewe safari yangu ya kutoka dar es salaam Tz to South Africa na hadi hapa nilipo.
Huna lolote labda south ya kwa Bi nyau.
 
Back
Top Bottom